Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaniuliza mimi kwani mi ni Magufuli au na wewe ndio unaweweseka?Magufuli analipa kodi kiasi gani?
Tume Ina dabo standardWananchi tulikubali kuwa tuwe na tume ya uchaguzi sasa tume ikifanya kazi yake ipasavyo mnakuja kulialia kuwa wananchi hamheshimiwi. Basi hakuna haja ya kuwepo kwa tume uchaguzi uongozwe kwa matakwa ya chadema.
Kwaiyo ulitaka wakwepa kodi waendelee kuchekewa tu? Fastjet afuate sheria na taratibu atarudi kufanya biashara mbona precision ana operates vizuri tu.
nani kakataa kwamba hakuna tume ya uchaguzi,tofautisha tume ya uchaguzi na tume huru ya uchaguziWananchi tulikubali kuwa tuwe na tume ya uchaguzi sasa tume ikifanya kazi yake ipasavyo mnakuja kulialia kuwa wananchi hamheshimiwi. Basi hakuna haja ya kuwepo kwa tume uchaguzi uongozwe kwa matakwa ya chadema.
Uliona lini tume ikahukumu ccm njoo uchukue bukuNa Gwajima aitwe kwa kumuita mwenzie Bi Kidude
Wamemuita wenyewe, WASIMKIMBIETume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemuandikia barua mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ya kumuita katika kikao cha kamati ya maadili ya Taifa.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC, Dkt. Charles Mahera amesema hilo leo jijini Arusha wakati akizungumza na waandishi wa habari ambapo ameeleza kuwa mgombea huyo atafika mbele ya kamati Septemba 29 mwaka huu.
Akizungumzia uratibu na usimamizi wa kampeni za uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 28 mwaka huu amesema tume imekumbana na changamoto kwa baadhi ya wagombea wa kiti cha Rais kutoheshimu sheria, taratibu na maadili ya uchaguzi.
Ameongeza kuwa baadhi ya wagombea wamekuwa wakitumia maneno ya kukashifu wagombea wenzao, tume, pamoja na kutoa taarifa zisizo za kweli zenye lengo la kuleta taharuki na uzushi miongoni mwa Watanzania.
Chanzo: TBC Online
Umeshaanza kuweweseka comrade unakimbulia kwenye kejeli.
Fanya kazi kwa bidii huwezi kuja hapa kulialia eti maisha yanazidi kuwa magumu. Ulitaka Magufuli akuletee ugali mezani ?Kama mlikopa na kututia kwenye madeni hiyo ni njia bora ya kuliko kujifanya tuna utajiri unaowanufaisha wachache na familia zao. Kila siku sisi matajiri wakati maisha yanazidi kuwa magumu na makato yanazidi kuongezeka.
Asipokwenda anaondoliewa kwenye kinyanganyiro .TL asiende tukianzishe hapa hapa. Haina haja ya uchaguzi tena. Wamuite Magufuli kwanza - anadhalilisha akina mama, anafokea wapigakura eti hawapati maendeleo wakichagua wapinzani, sasa wanasema eti TL ana uraia wa nchi nchi nyingine! Waache ushenzi Watanzania tuamue kiongozi tunayetaka atuongoze.
Wamezidiwa wanaomba mapumzikoMajibu ni marahisi tu, kuwa tume ya uchaguzi sio huru. Wagombea kibao wa upinzani wameenguliwa na tume ya uchaguzi kwa hila, na wagombea wa ccm wanavunja sheria wazi wazi bila kuchukuliwa hatua. Ni hivi, safari hii kuchezea kokote matokeo hakutakuwa na kumuachia Mungu fullstop.
Sera zake mbovu ndio zimefanya kazi zimekufaFanya kazi kwa bidii huwezi kuja hapa kulialia eti maisha yanazidi kuwa magumu. Ulitaka Magufuli akuletee ugali mezani ?
Aende akathibitishe kauli aliyoitoa .Haya ameyataka mwenyewe! Ngoja tusubiri tena wamemlea muda mrefu sana!
Alidanganywa na wasaidizi wake kwamba anakubalika walimfeed taarifa feki azipendazo ili wampige pesa.Kakumbana na Hali halisi.Jamaa hakutegemea kabisa kama hali ingelikua kama ilivyo sasa
Sasa comrade kupotea kwa watu kuna husika vipi na awamu ya tano? Kama una ushahidi kuwa serikali ya awamu ya tano imewapoteza hao watu tunakuomba utuletee hapa ili tujiridhishe na shutuma zako.Hivi mkuu unataka kutuambia kuwa ndugu Wa Ben saanane,azorry, kamanda mawazo,na wwngine wengi watakuja kufurahia matunda ya kazi ya awamu ya tano,.ili hali ndugu zao wamepotea ndani ya awamu ya tano.
Ni uongo mkuu..
Ili nchi iweze kuendelea lazima tuache kubembelezana ilifikia wakati mpaka wabunge pamoja na kupokea mishahara na marupurupu kibao ila bado walikua kwenye orodha ya wadaiwa sugu wa bodi ya mikopo. Lipa deni bwana ni 15% acha kulialia ili wadogo zako waweze kupata mkopo pia.
Kweni lini weww ulianza na maendeleo ya jirani yako kabla ya mkeo/mumeo na watoto nyumbani kwako wewe mwenyewe?Hahahaa kwani ni uwongo jiwe hajajenga uwanja wa ndege Chato kwa kumtumia Mayanga? waambie watulie sindano zizame ipasavyo