fundi25
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 10,378
- 11,537
Kwani sisi ni watoto tusijuwe ana mlenga naniAliongelea mgombea individual na kumtaja jina lake? Akamtaja Labda Tundu Lisu kwa jina? Ulishamsikia Magufuli akimtaja Lisu kwa jina lake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani sisi ni watoto tusijuwe ana mlenga naniAliongelea mgombea individual na kumtaja jina lake? Akamtaja Labda Tundu Lisu kwa jina? Ulishamsikia Magufuli akimtaja Lisu kwa jina lake?
Hivi wakuu ,KUROPOKA , maana yake ni Nini? Maana umekua msamiati unaotumika Sana tuanzie apo kwanzaSasa comrade wewe unadhani unajua sana kuliko Tume ya uchaguzi? Lissu kaitwa kwa sababu ya kutokwa na meneno ovyo yaani anaropoka. Tume inasimamia wagombea wote na kungekuwa na ulazima wa kumuita JPM wangefanya ivyo ila kwasasa Lissu ndio kaitwa tumuache akanyolewe kelele za nini?
Anza na polepole kwanza kwani kawaita wapinzani ni misukuleAende akathibitishe kauli aliyoitoa .
Acha kukurupuka kwani Polepole ni mgombea? Pumbavu!Wambie NECCCM Tumeccm waanze kumcharaza polepole aliyewaita wapinzani misukule
Kama maana ya neno dogo tu kuropoka hujui tutajadili nini comrade?Hivi wakuu ,KUROPOKA , maana yake ni Nini? Maana umekua msamiati unaotumika Sana tuanzie apo kwanza
Anachofanya magufuli ni kutufukarisha period.Siri moja ya kiongozi mzuri ni kujua kuwa huwezi kumfurahisha kila mtu. Magufuli aliamua kwa dhati kuwa lazima nchi isonge mbele regardless ya watu watakaonuna kama wewe. Hatuna muda wa kupoteza kufurahisha watu ni tunapiga kazi usiku na mchana kuhakikisha nchi inasonga mbele.
Wewe endelea kununa watoto wako watakuja kufurahia matunda ya kazi ya serikali ya awamu ya tano chini ya uongozi imara wa Magufuli.
Si useme tu kuwa huna ushahidi unabwawaja tu.Upewe ushahidi wewe punje ili iweje wakati umekariri zidumu fikra zisizo za mtukufu mwenyekiti wa CCM mpaka umejitoa fahamu zote, watapewa ushahidi wale wanaojielewa pekee.
Uzalendo ni kula 10% ununuzi wa Ndege? Uzalendo ni kumtoa CAG kafara?Kwaiyo mkuu unafurahi kweli kweli kuona ndege zilizonunuliwa kwa kodi yako zinakosa wateja? Kuwa mzalendo comrade
ilituwakomeshe pamoja na tumeccm yenu safari hiiSasa mlikubali vipi kuingia kwenye uchaguzi chini ya tume mnayodai kuwa sio huru?
Wewe ndiyo unabwabwaja ndiyo maana hufai kupewa ushahidi kwani umejitoa fahamu zoteSi useme tu kuwa huna ushahidi unabwawaja tu.
Mahera is an idiot and spayed man, anasema wao ni tume huru wanafanya kazi kwa uhuru .
Comment ziwe fupi fupi tafadharini....
Swali langu la kwanza: Hivi ni kweli Lisu alisema asipotangazwa basi watanzania waingie barabarani? au alisema akishinda na asitanganzwe ndipo ataingiza watu barabarani? hizi kauli mbili tofauti na zina maana mbili tofauti.
Swali langu la pili: Mkurugenzi anapata wapi Confidence ya kumpiga mkwara Mgombea mwenye uelekeo wa kushinda urais ndani ya siku chache zijazo? hii ni kutokana na hali halisi ya mikutano ya wagombea mpaka sasa
Mkuu ndio ni neno dogo ila lenye mapana yake, binafsi silijui ndo maana nikaomba msaada naomba tafasili yake, binadam hawezi jua Mambo yote mkuu ,naomba tafasili ya hilo nenoKama maana ya neno dogo tu kuropoka hujui tutajadili nini comrade?
Lisu hana kosa kwani NECCCM Tumeccm hawana mamlaka ya kumhoji kwani siyo Tume huru ya uchaguzi ni chombo binafsi cha CCM kinachofanya kazi kwa zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu mwenyekiti wa CCMLissu ameponzwa na Lema na Sugu
ajalia tundu lisi nionyeshe wapi amelia ilanaona wanaenda kumuongezea umaalufu zaidiNdio imetoka hiyo. Mtakula maneno yenu sasa. Tanzania huwa hatujaribiwi atakiona kilichomtoa kanga manyoya. Sasa TL unalialia nini?