Uchaguzi 2020 NEC yamuita Tundu Lissu kufika mbele ya Kamati ya Maadili ya Taifa

Uchaguzi 2020 NEC yamuita Tundu Lissu kufika mbele ya Kamati ya Maadili ya Taifa

Tatizo mmejaa mawazo ovu kila wakati.

Rais alitoa kauli hiyo akitaka ufafanuzi wa upanuzi wa soko. Tatizo liko wapi??

Tena alisima "wewe mama mnataka mpanuliwe kwa upande upi??

An idle mind is the devil's workshop.
Hb yule alimuuliza umesimamia mkojo? Yule mwingine anamkejeli kuwa analia vizuri kama anavyomlilia bwana wake! Pathetic
 
TL anaposema hakitoeleweka ana maana gani. The guy is bogus.
 
Wanachokifanya NEC ni kumpaisha zaidi Lissu. Magufuli kuwa makini na NEC wanakuangusha.
 
kwenye kampen lazima mtu usemwe..na wao hawazuiwi kimsema Lissu..huu ni mda wa kuwadadavua wooote..wamuache lissu..
 
Ndio imetoka hiyo. Mtakula maneno yenu sasa. Tanzania huwa hatujaribiwi atakiona kilichomtoa kanga manyoya. Sasa TL unalialia nini?

Msasa mnaposema kuwe na uchaguzi mnakuwa na maana gani
 


Comment ziwe fupi fupi tafadharini....
Swali langu la kwanza: Hivi ni kweli Lisu alisema asipotangazwa basi watanzania waingie barabarani? au alisema akishinda na asitanganzwe ndipo ataingiza watu barabarani? hizi kauli mbili tofauti na zina maana mbili tofauti.

Swali langu la pili: Mkurugenzi anapata wapi Confidence ya kumpiga mkwara Mgombea mwenye uelekeo wa kushinda urais ndani ya siku chache zijazo? hii ni kutokana na hali halisi ya mikutano ya wagombea mpaka sasa

Aende tu akahojiwe
 
Aliongelea mgombea individual na kumtaja jina lake? Akamtaja Labda Tundu Lisu kwa jina? Ulishamsikia Magufuli akimtaja Lisu kwa jina lake?

Hizi ni siasa broh, naona mnapaniki.
Kuna siasa bila kumtaja mgombea?
 
Anasema kuna watu wanaamini kuwa wameshashinda na kutoa vitisho kwa Tume kuwa wasipotangazwa watavunja amani.

NEC kwani mnamjua atakaeshinda ni nani?
Wana mtu wao aliyewachagua.

Imagine, anasema kuna baadhi ya wagombea.... Halafu, anayetajwa na kuitwa ni Lissu peke yake. Sasa sijui kwa ni ametumia neno baadhi....!!
 
Back
Top Bottom