Hb yule alimuuliza umesimamia mkojo? Yule mwingine anamkejeli kuwa analia vizuri kama anavyomlilia bwana wake! PatheticTatizo mmejaa mawazo ovu kila wakati.
Rais alitoa kauli hiyo akitaka ufafanuzi wa upanuzi wa soko. Tatizo liko wapi??
Tena alisima "wewe mama mnataka mpanuliwe kwa upande upi??
An idle mind is the devil's workshop.
Jifunze lugha kwanza.ajalia tundu lisi nionyeshe wapi amelia ilanaona wanaenda kumuongezea umaalufu zaidi
Tume hii hii iliyo muidhinisha Tundu Lissu na watu wengine kugombea Urais kupitia vyama vyao!Tume hii hii yenye double standards?
Ndio imetoka hiyo. Mtakula maneno yenu sasa. Tanzania huwa hatujaribiwi atakiona kilichomtoa kanga manyoya. Sasa TL unalialia nini?
lakini umenihelewaJifunze lugha kwanza.
How?lakini umenihelewa
TL anaposema hakitoeleweka ana maana gani. The guy is bogus.
听听How?
Aende tu akahojiwe
Comment ziwe fupi fupi tafadharini....
Swali langu la kwanza: Hivi ni kweli Lisu alisema asipotangazwa basi watanzania waingie barabarani? au alisema akishinda na asitanganzwe ndipo ataingiza watu barabarani? hizi kauli mbili tofauti na zina maana mbili tofauti.
Swali langu la pili: Mkurugenzi anapata wapi Confidence ya kumpiga mkwara Mgombea mwenye uelekeo wa kushinda urais ndani ya siku chache zijazo? hii ni kutokana na hali halisi ya mikutano ya wagombea mpaka sasa
Leta evidence ya ulaji wa 10% sio kubwabwaja tu.Uzalendo ni kula 10% ununuzi wa Ndege? Uzalendo ni kumtoa CAG kafara?
Aliongelea mgombea individual na kumtaja jina lake? Akamtaja Labda Tundu Lisu kwa jina? Ulishamsikia Magufuli akimtaja Lisu kwa jina lake?
Wana mtu wao aliyewachagua.Anasema kuna watu wanaamini kuwa wameshashinda na kutoa vitisho kwa Tume kuwa wasipotangazwa watavunja amani.
NEC kwani mnamjua atakaeshinda ni nani?
Kama ni ivyo muache kulialiailituwakomeshe pamoja na tumeccm yenu safari hii