Uchaguzi 2020 NEC yamuita Tundu Lissu kufika mbele ya Kamati ya Maadili ya Taifa

Edit kazi yako mkuu
 
Hivi samahani anayesema kwamba ukichagua upinzani maendeleo sitaleta na anayesema maded wameitwa kwa ajili ya kupewa maelekezo nani ni mvunjifu wa Amani ati au ndo upofu wa kisiasa...
 
That word has been used in this forum for a long time. I do not expect you to have missed it all these years.
I missed it comrade...now, tell me its meaning if you wouldn't mind...tehtehtehtehteh
 
Mzunguko wa pesa upi huo wa ulanguzi? Yaani watu wanazungusha pesa za serikali ndio uhalali huo? Nchi gani ulimwenguni inafanya hivyo? Matapeli wakubwa, ndio sababu nchi ilikuwa imenyong'onyea bila kuonesha maendeleo yoyote bali kuna vijitu vinajiona vinamiliki nchi vyenyewe peke yao. wacha magufuli avinyooshe.
 
Hivi samahani anayesema kwamba ukichagua upinzani maendeleo sitaleta na anayesema maded wameitwa kwa ajili ya kupewa maelekezo nani ni mvunjifu wa Amani ati au ndo upofu wa kisiasa...
 
Asante MUNGU Kwa kuendelea kuwatoa ufahamu NEC kwasabb hiki kitendo cha kumwita LISSU aende kujieleza ni ushindi tayari pia Ile haki anayoipigania itapatika mbele ya huyu mwenyekiti wa NEC.

Ukimwita LISSU mbele ya kamati hiyo ni kwenda kuwafundisha Sheria tena huu mwito umekuja wakati mwafaka sana
 
Ccm sio mtu mmoja kama mlivyo chadema na Mbowe, ccm itadumu daima na milele kwasababu sisi hatuwekezi kwa mtu bali wa umma.
 
I missed it comrade...now, tell me its meaning if you wouldn't mind...tehtehtehtehteh
Not today try next time. Wewe upo humu tangu JF inaanza them hufahamu?
 
Analo toa mtu mdomoni ndilo lililoko rohoni. Hamna tume hapa. Ukiona reaction yake wakati anaongea utajua kabisa kwamba ni kada.
Halafu hawa wakurugenzi ni safu maana anawataja kwa kichwa kama wamesoma wote toka vidudu.
Sasa tuseme mtawatangaza tuu upinzani wakishinda.. Hakuna compromise hapa..
 
Kwani alitoa ndogo?

Tuweke wazi sheikh
 

Ila kiufundi raisi bado yupo madarakani na ana mamlaka yaleyale.
 
Lissu aanze kumuhoji kwa kutoa kauli hii kabla ya kukubali kujibu watachomuuliza.
 
NKURUGENZI NDIO NINI?. HEBU ONENI HII NYAU. STUPID MIND

..hizo ni lafudhi za watanzania toka maeneo mbalimbali.

..kuna maeneo hawawezi kumtamka " li, " nawatamka "ri."

..maeneo mengine hawawezi kutamka " m, " wanataka " n. "

..tuvumiliane kama watanzania.
 
..sio rahisi nec kutenda haki, haswa katibu wake ambaye anajulikana ni kada wa ccm.

..haki inatakiwa itendeke, lakini zaidi inatakiwa ionekane inatendeka.

Tundu Lissu ende tu Dodoma wamalizane hukohuko.

Kama ni sheria kila mtu aoenyeshe ufundi wake wapingane vigungu kwa vifungu.
 
..hizo ni lafudhi za watanzania toka maeneo mbalimbali.

..kuna maeneo hawawezi kumtamka " li, " nawatamka "ri."

..maeneo mengine hawawezi kutamka " m, " wanataka " n. "

..tuvumiliane kama watanzania.
Hiyo ni typing error tu sema kakosa hoja tu hiyo.
 
Huyu Mkurugenzi anashindwa hata kuficha mahaba yake Kwa CCM? hivi ni kazi yake pia kuona yaliyo mioyoni MWA watu?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…