Uchaguzi 2020 NEC yamuita Tundu Lissu kufika mbele ya Kamati ya Maadili ya Taifa

Upuuzi mtupu wa tume
Kwanini ni upuuzi??!! Wewe unaona sahihi huyo Lissu wenu aseme au kutamka kuwa Rais amewaita wakurugenzi wote wa halmashauri kuzungumza nao Dodoma wakati siyo kweli?! Unaona sawa huyo mropokaji Lissu na ambaye ametumwa na mabeberu kutamka kuwa Rais amemuita mkurugenzi wa uchaguzi kuzungumza naye wakati siyo kweli?? Unajua madhara ya kauli hizo?!
 
Reactions: Ole
Huyo mahera aondoe ukichaa wake hapa. Mapambano ya hoja yaachwe yaendelee. Kama huyo utopolo wa ccm ameshindwa, aombe mwingine agombee badala yake.
 
UKWELI NIKWAMBA MIKUTANO YA TUNDU LISU INAFUATILIWA KUANZIA RAIS HADI BABY ANAYENYONYA! Na hasa Slowslow!
 
Ila jamaa anaropoka aisee hana breki , lolote linalokuja kichwani anaongea tu bila kudigest.
Utopolo wenu hawezi kujibu hayo madai kwani!? Awaambie wananchi huyo mayanga ni nani na alipata vipi tenda ya ujenzi. Au pesa za kodi kazigeuza kuwa zake!? Au ndio ule mwendelezo wa upigaji kama walivyowagawia mahawara nyumba za serikali! Bado haijasahaulika hiyo.
 

Mbona sijaona madhara mpaka sasa?
Hizo ni kauli za kisiasa tu
 
hakuna kitu kigumu kwa mwanasiasa kama kulazimisha kuwa chaguo kwa wananchi
siyo mbobezi sana wa jukwaa la siasa ila naamini nguvu ya wananchi kwa chaguo lao ni nguvu kubwa isiyothibitika
 
Tundu Lissu ende tu Dodoma wamalizane hukohuko.

Kama ni sheria kila mtu aoenyeshe ufundi wake wapingane vigungu kwa vifungu.

..ufundi wa sheria ni ktk mazingira ambapo kuna muamuzi au hakimu aliye huru.

..sasa huyu mkurugenzi inajulikana kuwa ni kada, na ushahidi huo uko documented.

..tume nzima walitakiwa wajiuzulu kwasababu hawana "udhu" wa kusimamia uchaguzi ulio huru, na wa haki.
 
Chadema futeni sheria uchaguzi utafanyika bila shida ila mkileta uhuni ambao mmekua mkiufanya lazima muitwe kuhojiwa.


Waanze kujiita wenyewe hao Tume . Wao ndio wavunjaji wakubwa wa maadili.
 
Kwa sababu tu chama/sacos ya ukoo imegonga mwamba? Tanzania kwanza mengine baadaye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…