Uchaguzi 2020 NEC yamuita Tundu Lissu kufika mbele ya Kamati ya Maadili ya Taifa


..nakubaliana na wewe 100%.

..lakini ni lazima kuwe na chombo ambacho ccm, cdm, na wengine, wanataka kukilinda kwa nguvu zao zote.

..juzi tulimsikia Tundu Lissu akiwasifia Polisi kuwa wamemtendea haki maeneo mengi ambayo alipita.

..I wish Tume ya Uchaguzi nao waenende ktk namna ambayo ktk uchaguzi huu Tundu Lissu atawasifia kwa uadilifu wao.

..Hivi kweli toka sakafu ya moyo wako, unaamini manung'uniko na malalamiko yote ya cdm dhidi ya nec ni uongo wa kutupilia mbali?

..Kama Polisi wameweza kujitoa kimasomaso, Tume ya Uchaguzi wanashindwa wapi?
 
😀😁😂😅😄😃😂😁😁😆😆
Ugoro Umeingia Puani
In Gwajima Voice.........
 
Haya MATAGA umetimiza wajibu wako kwa kujibu post. Nenda kwa Polepole kachukue ujira wako halafu kakojoe ulale.

Tuache sisi tupiganie kuikomboa Tanzania kutoka kwa Dikteta wa CHATO
 
TL mumeshindwa kumpa jina chafu kutokana na usafi wake.

Mola ataendelea kumpigania hadi mtajane wakuda nyie
 
Lisu hakupaswa kupitishwa na kugombea nafasi ya urais kwani alisha kiuka maadili tangu mwanzo...hakuwa na sifa hata kidogo.....
na kwa sasa ndio kadhihirisha wazi wazi utovu wa maadili kwa kuwatukana wagombea wenzake na kama haitoshi amekuwa akihamasisha vuru na kupandikiza chuki. kwa sababu hizo Lisu anapaswa afutwe kabisaa sio kupewa karipio
 
Aliongelea mgombea individual na kumtaja jina lake? Akamtaja Labda Tundu Lisu kwa jina? Ulishamsikia Magufuli akimtaja Lisu kwa jina lake?
Magufol hana jipya na wala hana uweoz WA kujibu hoja zake.
 
NEC naona wanatetea mkate wao...mwaka huu hakuliki na chooni hakuendeki maaanina!

Wamuite boss wao kwanza kwani anagawa taifa hadharani kwa kauli zake za kusema watu wakichangua upinzani hatapeleka maendeleo kama vile anajijua ameshashinda na hela anatoa mfukoni kwake
 

Wanaweza kuwa na malalamiko lakini hii ndio chance kwao Dodoma kukutana na NEC uso kwa uso.
 
Kampeini zina mambo mengi na mojawapo ni kama hayo ya uongo,,sasa kwani sheria za nekta zinasemeje pindi mgombea akisema uongo kwenye kampeini?
 
Kavumilia kaona TAL Anazidi kumpoteza
Na hii nidhahiri amethibitisha ameshindwa anatumia hila za waziwazi huku yeye ndo mkiukaji.

Kwa jinsi alivyo wazidi akili wanamwongezea umaafu wafuasi zaidi kwani kilamtu anasubiri nini kinaenda kutokea
 
Mtajua hamjui mwaka huu. Jaribuni kufanya udhalimu wenu juu ya Lissu muone kama tunatania nyuma ya keyboard au Tuko serious
Hamna jipya nyie maji ya shingo mnaanza mikwara nyuma ya keyboard. Oparesheni UKUTA iliishia wapi comrade?
 
Aliye mkashifu mgombea kwa kusema kashiba ugali .. naye aitwe.
 
Mahera yupo kwenye list ya the hague ICC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…