Uchaguzi 2020 NEC yamuita Tundu Lissu kufika mbele ya Kamati ya Maadili ya Taifa

Uchaguzi 2020 NEC yamuita Tundu Lissu kufika mbele ya Kamati ya Maadili ya Taifa

Mara nyingine hata kama nyie ni matatumbeta ya Lumumba muwe mnatumia akili zenu!! Una akili ya kuandika humu lakini huwezi kuona UKIUKWAJI mkubwa wa KANUNI za kampeni na MAGUGULI?

Mtu mwenyewe unaitwa Mugabe one sasa tukujibu nini wakati umerithi jina lenye laana
Pokea laana Na ikuingie milele kwa jina la Yesu
 
Hamna jipya nyie maji ya shingo mnaanza mikwara nyuma ya keyboard. Oparesheni UKUTA iliishia wapi comrade?
Nasema hivi fanyeni upumbavu wenu mpate majibu yetu mwaka huu. Si mlianza kusema tunaosema tutampokea airport Tupo nyuma ya keyboard eeh? Sasa si mliona majibu yake?

Fanyeni ufedhuli wenu sasa mpate majibu yetu. Vilaza wakubwa nyie!
 
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemuandikia barua mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ya kumuita katika kikao cha kamati ya maadili ya Taifa...
Hii tume ambayo msingi wake mkubwa ni double standards...Tundu Lissu asiende tuone kitakochofanyika.

Hii tume ambayo yenyewe haina maadili...ninewupe kama pamba. Wametoa hukumu gani kwa wagombea ubunge na udiwani wa chadema kwa muda huu wote. There are all working in tandem with all the deds to ensure that winner is Magufuli.

A bunch of sycophants dancing at magufuli's tune all the time.

Magufuli has breached all the codes or regulations of this election and nothing has been said or done against him.

He has not followed the timetable during the electioneering, speaking in the local dialect as he pleases during this campaign, dealing with construction of road projects during the campaign, giving money to people.

This is absurd and yet no significant statement has come from NEC to condemn what Magufuli is doing. The only help we need is ICC at the Haque.
 
Aliongelea mgombea individual na kumtaja jina lake? Akamtaja Labda Tundu Lisu kwa jina? Ulishamsikia Magufuli akimtaja Lisu kwa jina lake?
Yaaani kwa akili zako unategemea Magufuli Kama individual awe na tuhuma anazowajibika moja kwa moja asitajwe? hapo ndio ntajua kuwa Kuna mambo au taratibu ni hazitekelezeki hata Kama zimelenga kumlinda mtu fulani
 
Keshawajibu kibabe Tarime , amesema anahitaji majibu KASSIM MAJALIWA anazurura mikoani kufanya kampeni kama nani?

Hiyo tume haitaweza kumjibu swali hilo kabisa.Atawaburuza kwenye sheria watamwelewa tu hata kama ni wabishi
 
Tundu hawajui watanzania, wafuasi wake ni zaidi ya wajumbe maana heri wajumbe wanapiga kura hao wa Tundu wanakaa nyuma ya keyboard kumjaza, wachache wanaenda kumtazama na wakati huohuo asilimia kubwa hawana hata vikatio
2810
Lissu kawachanganya mmechanganyikiwa hadi mnatia aibu!! Kwa iyo mbaowabeba kwenye maroli ndo wamejiandikisha tu ??? Kweli Ccm hamna akili 😂😂
 
Huyu Mkurugenzi anashindwa hata kuficha mahaba yake Kwa CCM? hivi ni kazi yake pia kuona yaliyo mioyoni MWA watu?.
Kada wa CCM anaenda kumhoji chadema kwa kutumia maswali aliyokariri toka kwa mtukufu mwenyekiti wa CCM
 
Nasema hivi fanyeni upumbavu wenu mpate majibu yetu mwaka huu. Si mlianza kusema tunaosema tutampokea airport Tupo nyuma ya keyboard eeh??? Sasa si mliona majibu yake???

Fanyeni ufedhuli wenu sasa mpate majibu yetu. Vilaza wakubwa nyie!
Mashujaa wa nyuma ya keyboard endeleeni kuweweseka Lissu hatoshinda na hakuna mtakachokifanya mapimbi washamba.
 
Keshawajibu kibabe Tarime , amesema anahitaji majibu KASSIM MAJALIWA anazurura mikoani kufanya kampeni kama nani?

Hiyo tume haitaweza kumjibu swali hilo kabisa.Atawaburuza kwenye sheria watamwelewa tu hata kama ni wabishi
Baraza la mawaziri bunge vilishavunjwa lakini mpaka sasa mawaziri wanatumia magari ofisi za Serikali kama kawaida kinyume cha katiba na Sheria
 
Baraza la mawaziri bunge vilishavunjwa lakini mpaka sasa mawaziri wanatumia magari ofisi za Serikali kama kawaida kinyume cha katiba na Sheria
Yaani inaumiza, unashindana na mtu ambaye bado ana mihuri anaamua atakalo hii ni balaa zito sana.
 
Haya ameyataka mwenyewe! Ngoja tusubiri tena wamemlea muda mrefu sana!
Atawazidi kwa hoja maana mambo aliyoongelea ni mapesi sana kujitetea, hicho kikao kingekuwa live kwa ninavyomjua Lissu atawagalagaza kwa hoja.
 
Kwenda ni hiari yake anaweza asiende na wasimfanye kitu. Kwa hapa Lissu alipofikia ni wa kuogopwa zaidi ya Magufuli. Kama hawaamini walianzishe
 
Mashujaa wa nyuma ya keyboard endeleeni kuweweseka Lissu hatoshinda na hakuna mtakachokifanya mapimbi washamba.
Wewe ndiyo shujaa wa nyuma ya keyboard kauli ya kishamba iliyokuwa ikitumiwa na Le mutuz kubwa jinga zamani, wewe ndiyo pimbi mweha mshamba wa jalalani unakovuta Bangi huna cha kujivunia uonekane ni mjanja.

mifano yako yote ni ya kibwege bwege ingawa huko CCM pengine waliokutuma ni mbumbumbu wamekuona ni mjanja wao, na kama wewe ndiyo mjanja huko CCM basi wanaokutuma watakuwa majuha mazuzu balaa,

Wewe endelea kuweweseka vita Bangi endelea kujidanganya Tambua kuwa ya Malawi Zambia kenya congo Ghana Gambia yanaenda kutokea na Tanzania sasa.
 
Wewe ndiyo shujaa wa nyuma ya keyboard kauli ya kishamba iliyokuwa ikitumiwa na Le mutuz kubwa jinga zamani, wewe ndiyo pimbi mweha mshamba wa jalalani unakovuta Bangi huna cha kujivunia uonekane ni mjanja, mifano yako yote ni ya kibwege bwege ingawa huko CCM pengine waliokutuma ni mbumbumbu wamekuona ni mjanja wao, na kama wewe ndiyo mjanja huko CCM basi wanaokutuma watakuwa majuha mazuzu balaa, wewe endelea kuweweseka vita Bangi endelea kujidanganya Tambua kuwa ya Malawi Zambia kenya congo Ghana Gambia yanaenda kutokea na Tanzania sasa.
Comrade povu jingi sana hilo ni dhahiri wewe unaweweseka sana kuliko wengine.
 
Back
Top Bottom