Netanyahu atuma ujumbe kwa iran, "Hatuna shida na wananchi, ni wakandamizaji wanaotumia pesa zenu kufadhili ugaidi, uhuru wenu upo karibu"

Mazingira ya Israel yalivyo asipojilinda kwa akili, nguvu na misaada mikubwa,, wana wa mtume watamfuta kweli kwenye uso wa dunia. Ni wachache na eneo lao ni dogo kijiographia. Eneo kubwa walilipoteza kwa uasi na ukaidi wao walipovunja makubaliano/maagano na MUNGU wao Kumb 28:62-64. Wagangamale la sivyo itakuwa kama 70 AD enzi za Titus of Rome
 
Wewe ndo ungeufyata. Haina shida. Lakini Myahudi anamkomalia Mwajemi wako unayemsifia hadi kieleweke. Ila isijetokea vilio eti anabomoa, anaua n.k. n.k. Tuwe watulivu hadi mwisho tuuone ujanja na ujeuri wa Mwajemi mbele ya Myahudi. Ila vita sio kitu kizuri hata kidogo mjomba..
 
Hayo uliyosema yaliandikwa na yakatimia ,kama unasoma vzr nabii za biblia ,basi Unajua mwisho mshindi ni nani,

Pamoja na ujinga wote wa wayahudi ,Bado Mungu ana agano nao ,na maandiko yanasema siku za mwisho wayahudi wengi watamrejea Mungu,
 
Unaikuza isreli bure tu ..vita anayoweza isreli ni ilie ya kuvizia na jet kushambulia na kukimbia ..vita ya namna hii huwa haileti ushjndi vita kama ya husbullahu ndo ilikuwa kipimo sahihi kwa israle naye ameleta aibi ..kama hisbillah watakuwa na uwezo wa kuwa na air defence maisha ya myahudi yatakuwa magumu sana
 
Oooh!? Kumbe unakubali kwamba Hezbollah hana uwezo wa kuwa na air defence sio? Sasa ingekuwa bora atulie asubirie mpaka hapo atakapokuwa na uwezo huo. Lakini kwa sasa maadam hana uwezo, asianzishe vita kwa sababu huwezi kumchagulia Israel eti atumie mbinu dhaifu ionayofanana na ya kwake.
 
Kila kitu ni hatua kuna sikua atakuwa na hiyo kiti tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…