Netanyahu atuma ujumbe kwa iran, "Hatuna shida na wananchi, ni wakandamizaji wanaotumia pesa zenu kufadhili ugaidi, uhuru wenu upo karibu"

Netanyahu kwa sasa ana wakati mgumu sana, amefikia hadi kuwaita shinbet na mossad wasaliti, na huku jela inamuita , alitumia vita kukimbia jela ila waisrael wamekomaa nae, na trump ni kichaa kwanza keshasema hamuamini netanyahu ,ila atahakikisha mateka wanaachiwa ,means atalazimisha na sio kubembeleza ceasefire
Mazingira ya Israel yalivyo asipojilinda kwa akili, nguvu na misaada mikubwa,, wana wa mtume watamfuta kweli kwenye uso wa dunia. Ni wachache na eneo lao ni dogo kijiographia. Eneo kubwa walilipoteza kwa uasi na ukaidi wao walipovunja makubaliano/maagano na MUNGU wao Kumb 28:62-64. Wagangamale la sivyo itakuwa kama 70 AD enzi za Titus of Rome
 
Wengi wenu humu mlidhani Iran ni nchi ya kuichukulia poa, majasusi kutoka EU na US ndio maana walionya Israel kuhusu kushambulia miundombinu ya gas na mafuta na ndicho Iran ilisubiri ili kusudi ipate ticket ya kuadhibu vyema israel.

Mashambulizi ya Israel kila mmoja ameona air defenses za Iran zikitungua missiles za Israel, huku misssiles za Iran zikionekana kupiga Israel kama mvua.

Anga la Israel lipo wazi, viwanda vya missiles Iran vipo chini ya mahandaki yaliyopo chini ya milima, vinu vya nuclear pia...

Hivyo Israel haiwezi jidanganya kupambana na adui ambae anafahamu fika anaweza kushambulia ardhi yake muda wowote... hata ingalikuwa ni mimi ningeufyata...
Wewe ndo ungeufyata. Haina shida. Lakini Myahudi anamkomalia Mwajemi wako unayemsifia hadi kieleweke. Ila isijetokea vilio eti anabomoa, anaua n.k. n.k. Tuwe watulivu hadi mwisho tuuone ujanja na ujeuri wa Mwajemi mbele ya Myahudi. Ila vita sio kitu kizuri hata kidogo mjomba..
 
Mazingira ya Israel yalivyo asipojilinda kwa akili, nguvu na misaada mikubwa,, wana wa mtume watamfuta kweli kwenye uso wa dunia. Ni wachache na eneo lao ni dogo kijiographia. Eneo kubwa walilipoteza kwa uasi na ukaidi wao walipovunja makubaliano/maagano na MUNGU wao Kumb 28:62-64. Wagangamale la sivyo itakuwa kama 70 AD enzi za Titus of Rome
Hayo uliyosema yaliandikwa na yakatimia ,kama unasoma vzr nabii za biblia ,basi Unajua mwisho mshindi ni nani,

Pamoja na ujinga wote wa wayahudi ,Bado Mungu ana agano nao ,na maandiko yanasema siku za mwisho wayahudi wengi watamrejea Mungu,
 
Wewe ndo ungeufyata. Haina shida. Lakini Myahudi anamkomalia Mwajemi wako unayemsifia hadi kieleweke. Ila isijetokea vilio eti anabomoa, anaua n.k. n.k. Tuwe watulivu hadi mwisho tuuone ujanja na ujeuri wa Mwajemi mbele ya Myahudi. Ila vita sio kitu kizuri hata kidogo mjomba..
Unaikuza isreli bure tu ..vita anayoweza isreli ni ilie ya kuvizia na jet kushambulia na kukimbia ..vita ya namna hii huwa haileti ushjndi vita kama ya husbullahu ndo ilikuwa kipimo sahihi kwa israle naye ameleta aibi ..kama hisbillah watakuwa na uwezo wa kuwa na air defence maisha ya myahudi yatakuwa magumu sana
 
Oooh!? Kumbe unakubali kwamba Hezbollah hana uwezo wa kuwa na air defence sio? Sasa ingekuwa bora atulie asubirie mpaka hapo atakapokuwa na uwezo huo. Lakini kwa sasa maadam hana uwezo, asianzishe vita kwa sababu huwezi kumchagulia Israel eti atumie mbinu dhaifu ionayofanana na ya kwake.
 
Kila kitu ni hatua kuna sikua atakuwa na hiyo kiti tu
 
Back
Top Bottom