komasalonde
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,783
- 2,479
Mazingira ya Israel yalivyo asipojilinda kwa akili, nguvu na misaada mikubwa,, wana wa mtume watamfuta kweli kwenye uso wa dunia. Ni wachache na eneo lao ni dogo kijiographia. Eneo kubwa walilipoteza kwa uasi na ukaidi wao walipovunja makubaliano/maagano na MUNGU wao Kumb 28:62-64. Wagangamale la sivyo itakuwa kama 70 AD enzi za Titus of RomeNetanyahu kwa sasa ana wakati mgumu sana, amefikia hadi kuwaita shinbet na mossad wasaliti, na huku jela inamuita , alitumia vita kukimbia jela ila waisrael wamekomaa nae, na trump ni kichaa kwanza keshasema hamuamini netanyahu ,ila atahakikisha mateka wanaachiwa ,means atalazimisha na sio kubembeleza ceasefire