Next on Straight Talk Africa: Tundu Lissu alongside Professor Lumumba - PLO

Hii ndio Taarifa mpya kwa sasa

View attachment 1738931

Kesho saa 3 unusu usiku
Mkuu mbona moto utawaka,mh lissu,wakati anagombea Urais chama Cha wanasheria rafiki zangu ni wanasheria siku tunabadilishana mawazo walisema ,achana na yule bwana alitema lugha ya malkia sio ya dunia hii,kwamba wao wanadai maneno mengine yalihitaji kamsi,so waheshimiwa tunao ndani ya jf wanaweza sema sio kweli
Sasa akikutana na prof lumumba moto utawaka natamani ningekua nipo free nikusanye zangu kamsi mine notice stress za leo
 
Mchaga na mpare wanawadharau sana waluguru nadhani hata kitaifa hili ni kabila dhaifu.
 
Hayo mayai yatakayotemwa humo...
Maana PLO anae misifa kweli...


Naombeni no ya mkalimani
 
Wakati upi mgumu?
Subili hapo hakuna wakupiga makofi wala kuzomea. Hoja to hoja.

Hapa wa kupanic anajulikana mbona,ngoja kesho apewe darasa na misamiati ya kutosha. Prof Lumumba hoyeee[emoji3][emoji3]
 
Huu mjadala sidhani kama una mizania sawa...

Lissu ni mwenye kumjua zaidi Magufuli na serikali ya JMT kuliko Lumumba...

Labda kama utakuwa mjadala wa kawaida usiohitaji washiriki kuweka bayana vielelezo kadha wa kadha...

Sent from my Nokia 5.4 using JamiiForums mobile app
 
Uhuru wa vyombo vya habari ni muhimu sana. Kesho tutajua kama mama atafagilia uhuru huo ataendeleza uminywaji wa uhuru huo.


Star Tv wanao uhuru huo wa kumrusha Lissu live?Au ni',Kila zama na kitabu chake?''Ingekuwa vizuri tufahamu pia kama watarusha pia You tube,in case kama chochote kitatokea!
 
Mwana kulitaka mwana kulipata , huyu lumumba mwacheni Kiherehere kimponze
 
Nyie mfanyiwe Nini ili mkubali kua nyie ni nyumbu tu na hamto badilika chadema mnasubir kumnenepesha ngombe wakat wa kampen [emoji26][emoji26]
 
Hapa wa kupanic anajulikana mbona,ngoja kesho apewe darasa na misamiati ya kutosha. Prof Lumumba hoyeee[emoji3][emoji3]

..Sidhani kama Prof Lumumba atakuwa tayari kutetea rekodi mbaya ya Jpm inayohusiana na kuminya demokrasia, na covid-19 denial.

..Kuna maisha baada ya Jpm, na naamini Prof.Lumumba ataamua kuangazia na kusonga mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…