Uko sahihi, star tv watapigwa pin, best option ni youtubeStar Tv wanao uhuru huo wa kumrusha Lissu live?Au ni',Kila zama na kitabu chake?''Ingekuwa vizuri tufahamu pia kama watarusha pia You tube,in case kama chochote kitatokea!
You can watch KTN NEWS also, from Nairobi Kenya
Binafsi nitatune channel za Kenya citizen au ktn .. star tv wanaweza cancel maana tundu ataminya hasaStar tv
Binafsi nitatune channel za Kenya citizen au ktn .. star tv wanaweza cancel maana tundu ataminya hasa
Kwa akili hizi haihitaji mashaka kujua kuwa mtoa post(wewe) ulibemendwa utotoni.Aibu kubwa sana hii yani mkenya anaenda kutetea mazuri yaliyofanywa katika nchi yako lakini wewe na akili zako timamu unaanda maneno ya kwenda kukashifu nchi yako uliyozaliwa.
Huyu jamaa TL naamini hata familia yake binafsi itakuwa inampuuza kinamna namna.
..sijui kwanini serikali au mataga hawakutuma watu wao.
..labda Prof.Lumumba atakuwa amelipwa, kwasababu inaeleweka wakati mwingine huwa analipwa ili asifie watu fulani.
Wanasema STAR TV , lakini kama huna imani na TCRA angalia VOA
..sijui kwanini serikali au mataga hawakutuma watu wao.
..labda Prof.Lumumba atakuwa amelipwa, kwasababu inaeleweka wakati mwingine huwa analipwa ili asifie watu fulani.
Hapana unamsingizia tu,Prof Lumumba amekuwa pro JPM way back b4 his passing.Tukubaliane kutokubaliana hapa mizani ya mjadala haitabalance kwakuwa tu mmoja ni Mtanzania na mwingine ni Mkenya,lkn naamini ktk hoja kwa hoja,kila kitu kitakwemda sawa.
Acha 16 ushawahi pigwa risasi tu? Au ushawahi pigwa hata na jiwe tu? Tena unapigwa ukiwa nyumbani kwakoAibu kubwa sana hii yani mkenya anaenda kutetea mazuri yaliyofanywa katika nchi yako lakini wewe na akili zako timamu unaanda maneno ya kwenda kukashifu nchi yako uliyozaliwa.
Huyu jamaa TL naamini hata familia yake binafsi itakuwa inampuuza kinamna namna.
umeandika kwa uzito mno !..tatizo la Lissu ni kwamba he is one dimensional, yaani yeye ni MPAMBANAJI muda wote.
..huyu ni mtu ambaye ameshambuliwa akakaribia kufa. Wakati mwingine ilitakiwa alalamike, anung'unike, alie, ili aonewe HURUMA.
..sasa hiyo nature yake imewafanya baadhi yetu kuona kilichomtokea Tundu Lissu kama ni jambo la kawaida.
..Naamini hatujapata picha halisi ya nini kilimtokea Tundu Lissu; mapito na machungu aliyokutana nayo, na jinsi alivyopambana.
Prof Lumumba anauwezo mkubwa sana wa kujenga hoja intellectually ... Shida nayoiona ni kuwa Crash ya hawa wawili ni obvious Prof ataondoka na ushindi kihoja kutoka kwa Pan Africanists across the globe.Wakati upi mgumu?
Subili hapo hakuna wakupiga makofi wala kuzomea. Hoja to hoja.
Nimeona Lisu leo amejipanga kuchafua nchi ...tatizo la Lissu ni kwamba he is one dimensional, yaani yeye ni MPAMBANAJI muda wote.
..huyu ni mtu ambaye ameshambuliwa akakaribia kufa. Wakati mwingine ilitakiwa alalamike, anung'unike, alie, ili aonewe HURUMA.
..sasa hiyo nature yake imewafanya baadhi yetu kuona kilichomtokea Tundu Lissu kama ni jambo la kawaida.
..Naamini hatujapata picha halisi ya nini kilimtokea Tundu Lissu; mapito na machungu aliyokutana nayo, na jinsi alivyopambana.
star tv wasije wakatuwekea matangazo kama ile ya John pambalu na MtoziStar tv
Dstv channel no ngapi?Kwa mlio na shaka na STAR TV kuwa wanaweza kuvuruga kipindi hiki tokana na Tundu Lissu kusema pande zote za Jiwe a.k.a Hayati John Pombe Magufuli (uzuri & ubaya wa utawala wake),
Basi unaweza kutazama kipindi hiki moja kwa moja toka VOA TV wenyewe kupitia ving'amuzi vya DsTV, Azam, Zuku nk
Ideology (Lumumba) v/s personal attacks, character assasination, matusi (lisu), wapi na wapi?
Huyo lafa uwezo wake wa kuchambua ideology ni zero!
kwa Lisu nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi usitafute huruma kwa mgongo wa Lumumba,Lisu ni mzalendo halisi Mtanzania siyo mnafikiNimeona Lisu leo amejipanga kuchafua nchi .
Yani Mkenya PLO Lumumba amejipanga kuitetea Tanzania lakini mzaliwa wa Singida Tundu Lisu anajipanga kuchafua.
Ni aibu kubwa kwa taifa letu
Lisu ni makamu mwenyekiti hewa wa Chadema mnalipa mshahara wa bure