Prodigal Son
JF-Expert Member
- Dec 9, 2009
- 1,068
- 711
Hizi njaa zitatuua, waraka kama upo siutatolewa tu. Mbona kama hatuna imani na viongozi wetu..!
waraka huo ni siri na hautakiwi kutangazwa kwenye vyombo vya habari.
Heshima kwenu wakuu.....
Kama kuna mtu anaweza kunisaidia waraka wa mishahara mpya 2013 naomba anijuze.
Natanguliza shukrani za dhati kabisa
Hizi njaa zitatuua, waraka kama upo siutatolewa tu. Mbona kama hatuna imani na viongozi wetu..!
Hizi njaa zitatuua, waraka kama upo siutatolewa tu. Mbona kama hatuna imani na viongozi wetu..!
Hizi njaa zitatuua, waraka kama upo siutatolewa tu. Mbona kama hatuna imani na viongozi wetu..!
Hizi njaa zitatuua, waraka kama upo siutatolewa tu. Mbona kama hatuna imani na viongozi wetu..!
Nawamini japo nimewaweka kwenye lile kundi la punda bila mjeledi haendi..!Wewe unawaamini viongozi?
wakuu kuna mtu anaweza kunisaidia jinsi ya kujua hizi scale za mishahara ya serikali na mashirika yake. mfano TGS scale (TGS E)