Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Hizi njaa zitatuua, waraka kama upo siutatolewa tu. Mbona kama hatuna imani na viongozi wetu..!
 
waraka huo ni siri na hautakiwi kutangazwa kwenye vyombo vya habari.
 
we subiri kitakachoingia mwisho wa mwezi ndo halali yako
 
Waraka najua unapelekewa waajiri ila co mfanyakazi. Mwajiri ndo anatakiwa awaambie wafanyakazi wake.
 
kuna watu wengine akili zao na uwezo wa kufikiri ni mdogo kama walivyo viong ozi wengi wa ccm,huwezi kusema waraka wa mishahara ni siri wakati kuna mambo mengi ya siri huw tunayapata hapa kama hauna cha kusema
bora unyamaze
 
Heshima kwenu wakuu.....

Kama kuna mtu anaweza kunisaidia waraka wa mishahara mpya 2013 naomba anijuze.

Natanguliza shukrani za dhati kabisa

Ndugu kwa upande wangu sidhani kama Serikali wameongeza mishahara isipokuwa ni kupunguza kodi kwa 1% kutoka 145 hadi 13%.

Hivyo tegemea kupata kanyongeza kaduchu katika Salary yako. Hawajaongelea kuhusu mishahara mipya.
Labda kama waliosikia kipya katika Salary.


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Waraka upo hata mimi nimeusoma na unakili kuwa kuna shida kwenye mishahara ya walimu(wanalipwa) kidogo na wanarukisha madaraja mawili au moja hvi ili kuwapa moyo waalimu na kuwafanya waipende idara hii ya utumishi,huu waraka si siri kwani kila mtu atajua analipwaje ili ajue namna ya kupata sitahiki zingine,ukianza kutekelezwa utajua mkuu usiwe shaka
 
Hizi njaa zitatuua, waraka kama upo siutatolewa tu. Mbona kama hatuna imani na viongozi wetu..!

Nakubalian na wewe, you just have to be patient! LAKINI kwa kuwa na imani na viongozi hiyo si sawa! Tuna kila sababu za kutokuwa na imani na viongozi wetu maana ni MAFISADI-MZEE WA VIJISENTI, MKAPA, MRAMBA NA TIMU YAKE, ETC, ETC,ETC to mention but a few!
 
Hawaaminiki mpaka uone salar slip

"To know the enemy is half the victory"
 
wakati unasubiri kupata waraka wa mishahara kumbuka kwa kuajiliwa ni aina ya utumwa and posho yake ni mshahara ambao kwetu sisi specialist wa rasilimali watu hautakiwi ukidhi mahitaji yako na nyongeza ili usikufanye uwe kiburi or uache ajira yako.

Nakushauri wakati unawazia waraka anza kufikiria maisha bila mshahara itakufanya uwe huru zaidi. Nasikitika hata wale wenye phd's wanalilia waraka. Hivi hamna mambo mengine ya maana?

Pole but ujumbe wangu umefika kwa wenye mazingatio wananielewa!
 
wakuu kuna mtu anaweza kunisaidia jinsi ya kujua hizi scale za mishahara ya serikali na mashirika yake. mfano TGS scale (TGS E)
 
wakuu kuna mtu anaweza kunisaidia jinsi ya kujua hizi scale za mishahara ya serikali na mashirika yake. mfano TGS scale (TGS E)


Kwa uelewa wangu TGS ni neno linalo simama badala ya TANZANIA GOVERNMENT SALARY SCALE. So hiii ni ngazi ya mshahara wa mtumishi wa umma wa Serikali yeyote.

Lakini kwa kuwa serikali ina idara au kada tofauti mfano walimu, madaktari, wanasheria n.k TGS huongezewa herufi nyingine inayotambulisha kada husika mfano walimu ni TGTS (TANZANIA GOVERNMENT TEACHERS' SALARY) hivyo kama ni TGTS vilevile huongezewa herufi na namba kati ya 1-9 mfano TGTS E1, TGTS E2 n.

TGTS E1 kwa walimu ni sawa na 1,00,300/= kwa mujibu wa waraka wa julai/2013. Daraja hilo la E litamaanisha mshahara tofauti tofauti kwa kada tofauti tofauti so it is not fixed.

Thanks
 
Back
Top Bottom