Dah, jamaa alikuwa muongo kweli, mie nilishangaa!
Aisee asante sana ubarikiwe.
Ngazi za
mshahara kwa waraka mpya 2014/2015.(afya)
tghs a.1 385,000, tghs b.1 610,000.00, tghs
c.1 885,000, tghs d.1 1,100,000, tghs e.1
1,320,000, tghs f.1 1,640,000.00. Tghs g.2
2,113,000, tghos a.1 261,000, tghos b.1
380,000, tghos c.1 526,000.
Degree ni milion 3.5
diplom ni 600,000/-
hizo zote ni takehome
mi hapo cjaelewa kitu yani sijui tgs d ndo watu gani mara naona AGCS
mshahara wa mwalimu mwenye shahada ni kiasi gani?
Jamani viwango vinavyooneshwa hapo ni basic,salary.. Takehome itategemea na makato yako.
Ndiyo maana wanaficha kwa TDS Kwani ni choroko tu. unless unajiandaa kwenda KUCHENGE AU KUKAPA AMA KU BOT.