Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

ndugu hawa jamaa walishaita kwenye usaili wa kazi zao za hivi karibuni?
 
Wekeni na ya mashirika Kama NHIF, PSPF, SSF, TANAPA, NHC, ETC. Eti Wakati Wakurugenzi wa vyuo vikuu wanaozalisha what amalgam kila kukiccha wanalipwa kwa sasa 5m, baadhi ya Wakuu wa mashirika wanakula more than 15m kwa mwezi!,!!,
 
Diploma ni 610,000/= as basic salary na degree ni 821,000/= as basic salary kwa wanaoanza kaz leo hii
 
mwalimu wa shule ya msingi anayeanza kazi hapo analipwa kiasi gani?
 
mi hapo cjaelewa kitu yani sijui tgs d ndo watu gani mara naona AGCS
 
Jamani viwango vinavyooneshwa hapo ni basic,salary.. Takehome itategemea na makato yako.
 
kwa wataalam wa mambo ya uchumi na fedha,madaraja ya mishahara kwa tanzania yapoje? kwa mfano poss 4 ndo kiasi gani? kwa anayejua tafadhari atujuze! nawasilisha
 
Back
Top Bottom