makandokando
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 299
- 21
Wadau naomba mnifahamishe mshahara wa mwalimu mwenye digrii, yani basic salary and after makato ya kodi.
TGTS D1 ambayo kabla ya makato ni sh 450,000.00
makato yake kuna PSPF
Bima ya Afya
Chama cha walimu
Tax Pay as you Earn
mengine yatakuja ya mikopo kama utakopa
nadhani take home inaweza kua 320,000.00
TGTS D1 ambayo kabla ya makato ni sh 450,000.00
makato yake kuna PSPF
Bima ya Afya
Chama cha walimu
Tax Pay as you Earn
mengine yatakuja ya mikopo kama utakopa
nadhani take home inaweza kua 320,000.00
inawekana lkn, solution inatakiwa iwe ni kuweka uwiano mzuri wa ngazi za mshahara kwa kada zote320,000.00 ukigawa kwa 30 ni sawa na 10,700/= Tshs kwa siku!Hivi pesa hii mtu akijipanga kufanya kilimo cha umwagiliaji wa pampu tu ya kawaida akitumia maji ya mto wa kudumu hawezi kupata hata 500,000 kwa mwezi?Nauliza tu, I stand to be corrected!
mhmhm sasa ukilinganisha na wengine kuna utofauti kweli au? mfano wale wahasibu, administatrators n.k ambao nao ni graduate/bachelor ? na wao si wanaanza na TGSD1 instead of TGTSD1, kifupi mie naona ngoma droo coz hata nao rate ni hiyo hiyo sema tu watu tuna kasumba ya kuwaponda walimu au kazi ya ualimu but salary level is almost the same, and sometimes walimu wana opportunity ya kutumia brain zao kuongeza kipato tofauti na wafanyakazi wa kawaida ambao toka saa 2 asubuhi hadi saa 9 na nusu yupo tu ofisini na dili hazisomi at the end of the month hana source nyingine zaidi ya kusubiri semina au workshop
Basic salar ni 422730,after makato ni 350000 hv.Wadau naomba mnifahamishe mshahara wa mwalimu mwenye digrii, yani basic salary and after makato ya kodi.
Acha urongo,TGTS D 1 ni 422730 na si vinginevyo.TGTS D1 ambayo kabla ya makato ni sh 450,000.00makato yake kuna PSPFBima ya AfyaChama cha walimuTax Pay as you Earnmengine yatakuja ya mikopo kama utakopanadhani take home inaweza kua 320,000.00
mmmh! Mm nina digrii ya nutrition,nisome hyo ya nursing? Naona hata kaz zake ziko za kumwaga! Mana nahangaika kutafuta kaz sipatiMshahara wa mwalimu mwenye degree ni sawa sawa na nurse wa certificate kama ulikua hujui. Hao wengine wahasibu na katika sekta zingine wana extra duty allowance kila mwezi ambayo haina kodi ni 150,000.00 pia wana posho ya uchunguzi ambayo nayo ni 150,000.00 hizo ni constant.Mwalimu hana semina hata moja zaidi ya kwenda kusahihisha mtihani wa Taifa na hiyo hadi ikukute ni balaa. Mwalimu akiwa kijijini na akaitwa wilayani kupeleka taarifa halipwi hata sent wala perdiem hata kama atatumia siku tano kukaa pale wilayani
\Mshahara wa mwalimu mwenye degree ni sawa sawa na nurse wa certificate kama ulikua hujui. Hao wengine wahasibu na katika sekta zingine wana extra duty allowance kila mwezi ambayo haina kodi ni 150,000.00 pia wana posho ya uchunguzi ambayo nayo ni 150,000.00 hizo ni constant.
Mwalimu hana semina hata moja zaidi ya kwenda kusahihisha mtihani wa Taifa na hiyo hadi ikukute ni balaa. Mwalimu akiwa kijijini na akaitwa wilayani kupeleka taarifa halipwi hata sent wala perdiem hata kama atatumia siku tano kukaa pale wilayani
mshahara wa degree ni TGTS D1 422730/= makato 5 percent pension, 2 percent CWT, 14 percent kodi, 8 percent NHIF unabaki na 368500/=
Makato kibao kambwa kenyewe ndo ivo utajenga kweli? Maendeleo utayasikia kwa jirani.mshahara wa degree ni TGTS D1 422730/= makato 5 percent pension, 2 percent CWT, 14 percent kodi, 8 percent NHIF unabaki na 368500/=