Ingia tu mkuu baada ya mwaka mmoja chukua mkopo then zungushia kwenye biashara utatoka tu. Mie nilikua huko ila nilikwepa kwenye kusoma degree nikasomea kitu kingine kabisa na ndo kinachonitoa sasa
320,000.00 ukigawa kwa 30 ni sawa na 10,700/= Tshs kwa siku!
Hivi pesa hii mtu akijipanga kufanya kilimo cha umwagiliaji wa pampu tu ya kawaida akitumia maji ya mto wa kudumu hawezi kupata hata 500,000 kwa mwezi?
Nauliza tu, I stand to be corrected!
Yeah unapewa pia house allowance 15% ya salary,na wana allowance zngne za vitengo mbalimbali..jaribu mzee!\sasa hapo inarudi back to 459000 take home!je. hapo ukipata hiyo si bado unapata house rent na vikolombwezo vyake?nliambiwa mnapewa nyumba, na kama kituo ulichopangiwa hakina za kutosha basi unaenda kupanga nje na utalipwa rate za rent hiyo kutokana na mshahara wako.vipi, hizi ziko included kwenye huo mshahara ama ni mojawapo ya benefits za kulitumikia taifa!??
Kama hujui bora uulize,huo ulikuwa utaratibu wa zamani..By The PriestMshahara wa polisi ukiwa na degree yeyote ile ni sh.455200 basic,na take home ni sh.359000,pia wanpata posho ya sh.100,000 katikati ya mwezi...hapo ni kabla hajapandishwa cheo chochote.Wacha kutudanganya wewe, Polisi wanalipwa kutokana na vyeo vyao na sio degree wala certificate. Mfano Ukiwa na mbavu mbili unaitwa Koplo hapo mshahara wako unakua tofauti na siye na mbavu, hali kadhalika mwenye mbavu tatu na kuendelea. ukiwa na nyota pia unakua na mshahara tofauti na mwenye mbavu
Unataka tuanzishe vitu kama JF? Sijaelewa link!Msinielewe vibaya eti nawakatisha tamaa watu wasitafute kazi. No! Absolutely not!
Isipokuwa najaribu kuleta ujumbe kuwa: Tutafute kuajiriwa sawa, lkn OUR ULTIMATE GOAL IWE NI KUJIAJIRI NA HATA KUAJIRI WENGINE!
Thanks!
Mimi ni Polisi na ni Graduate of Bachelor of Laws, what I know is that a person is paid according 2 his level of education. For instance a graduate's basic salary ranges from 440,720 & take home is 349,000 then plus 100,000 monthly allowance. So msidanganyane. Thanks
..,Hii professional nmeivamia wandugu npeni michongo mingne yakufanya kwani mwakan tu namalzia digrii yangu.
asante mkuu kwa ushauri wako, hakika umenpa changamoto na sasa npo kijiji kwa field. By the way Mipango ndio everythng.., Utafanikiwa suala kubwa ni malengo...Baba wa Taifa alikuwa mwalimu kama wewe..,lectures wote ni walimu unawaonaje ni kweli hawana mafanikio..,?Tatizo vijana wa siku hizi mnataka maendeleo ya papo kwa papo...,Usisahau Hata m-buyu ulianza kama mchicha.
vip unakaribia kumaliza degree yako ya elimu?Wadau naomba mnifahamishe mshahara wa mwalimu mwenye digrii, yani basic salary and after makato ya kodi.
ndo hvyo mkuu, am on the way.vip unakaribia kumaliza degree yako ya elimu?
hakika elimu itazd kudidimiatake home ni 347,000/== mshahara wa ajabu sana huu, kuna siku kidogo nigome kuuchkua, nikakaaaa nikawaza kwa kina nikaamua kuachana na hii job maana mazingira magumu, hakua overtime yenye malipo, full frustration yaani ukienda kule na knowledge yako lazima ita-expire within short time.....
Vipi kuhusu house rent and other allowances!??
oh,
na hizo graduate degrees, inategemea ni ya nini au as long as una degree moja nyote mnalipwa sawa!
Halafu,
would you still encourage someone kuja kufanya kazi huko as a porfessional!??
Mi nimemeliza yangu Udom juzi lakn now napigana hata wasipange hata huko kufundisha,hebu imagine kwenye hisi taasisi za gvt kuna watu wanalipwa tofauti na huu mshahara wa mwl,issue hapa kijana chukua jiwe lako then sepa tu teaching hailipi na naapa siendi huko