Nzowa Godat
JF-Expert Member
- Jun 15, 2011
- 2,785
- 821
Ni kweli hata mdogo wangu alitoka na expectations huko vasite, mbona mshahara wa kwanza tu aliacha kazi, akaona ni afadhali hata ubunge, kwa sasa yeye ni mbunge.take home ni 347,000/== mshahara wa ajabu sana huu, kuna siku kidogo nigome kuuchkua, nikakaaaa nikawaza kwa kina nikaamua kuachana na hii job maana mazingira magumu, hakua overtime yenye malipo, full frustration yaani ukienda kule na knowledge yako lazima ita-expire within short time.....
Elimu ni nyenzo ya kumwezesha binadamu kupambana na mazingira yake, KWA NINI upoteze miaka yako mitatu vasite na migomo, misukosuko kibaao na HSLB, ukibeba jiwe ambalo hata halitakusaidia ! I classify that, as upumbaafu.Mi nimemeliza yangu Udom juzi lakn now napigana hata wasipange hata huko kufundisha,hebu imagine kwenye hisi taasisi za gvt kuna watu wanalipwa tofauti na huu mshahara wa mwl,issue hapa kijana chukua jiwe lako then sepa tu teaching hailipi na naapa siendi huko
Sema kweli!! naacha ualimu, naenda kuwa mbunge!Mwalimu mwenye degree kupewa mshara huo wa take home 350,000.00 PM . Hizo ni dola 221 kwa mwezi. ni matusi kwa jamii. Sasa hebu nenda kwa wabunge walala usingizi. Mkopo wa gari, mshahara wa dereva wake, mshahala wake wa mwezi, allowance za kujikimu,pamoja kutemea katika tume utakuta antoka na 1,758,000.00 ! hizo ni dola 1280.58 Jamani Makda ni watu hatari sana katika jamii kuliko wezi mia moja wenye bastora, ona jinsi walivyojilundikia mapesa bungeni kuliko walimu! 1280.58-221.00=1059.58! 1059.58 mbunge anapeta nazo mitaani!
jamani mentor usiwe police...haha
ila ukweli ngazi za mishahara haziko sawia kabisa na zinakatisha tamaa
jamani tujiajiri (tusitegemee tu kulipwa na employer...tutakuwa wezi tu)
Actually the changes would be possible if and only if you fresh graduates would bring forth the very solidarity you execute when still at vasities, well?Hakuna usawa katika jamii cha umuhimu ni kufanya mabadiliko tumechoka na sufuria moja ya ugal we need change
jibane unganisha masters nzuri ,okkkkkkkkkkkkkkkHii professional nmeivamia wandugu npeni michongo mingne yakufanya kwani mwakan tu namalzia digrii yangu.
Siendi kuajiriwa, na siendi kuiba..
wat if i go with the motive of changing the curernt face of situation huko? kama nisipoenda nani atapabadili?
Btw, nina miradi ya kutosha kunilisha mpaka nife but natamani sana ku-serve my society (sio kisiasa) nikaona nijaribu ku-apply hapo!
Siendi kuajiriwa, na siendi kuiba..
wat if i go with the motive of changing the curernt face of situation huko? kama nisipoenda nani atapabadili?
Btw, nina miradi ya kutosha kunilisha mpaka nife but natamani sana ku-serve my society (sio kisiasa) nikaona nijaribu ku-apply hapo!
kubadilisha system ya polisi wa nchi hii?
kila la-kheri mkuu aisee mana imani ilishaisha kwa polisi
mkuu safi sana tangulia huko tunaweza kukutana huko siku moja japo sijawahi kufikiria kama ipo siku nitaitwa afande Narubongo, nilazima tufanye mapinduzi ya zile windows 98 tuweke ma linux, win7 wazee watoke bana watuachie... mhhhh lakini mkuu swala la umri max ni ngapi? na kama una master salary ni ngapi? nataka kubadili career

Kwa hiyo kama kuna kitu umekichoka ukae tu usifanye kitu!??

Umesahau wahenga walivyosema, "Be the change you want to see around you."

Afande Narubongo,lol. Hata mimi mpaka leo sijaamini kwamba kweli naenda huko...but I have this feeling that something has got to change in our country's system. I want to be a part of that change..I wanted to join the education system but sijui kwa nini nimevutiwa (kwa sasa) na polisi. Maybe, sitabadilisha kitu..but untill that happens, nitaenda and see for myself!

Karibu mkuu..it is our country, sote tukikata tamaa..tutaiuza nchi!??