Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Haina ukweli wowote kwa sababu mshahara unaongezeka kwa asilimia sasa serikali haijatuambia imeongeza asilimia ngapi kwa mwaka huu wa fedha maana mwaka jana waliongeza asilimia 41

Mwaka jana 41%? Duh! Duh! Uongo ndio huu
 
Dah njooni kwetu tuwaajiri...tunaanzia 5.6m gross ukimaliza probation tunakuongeza 30%
 
TGS A1 346,000
TGS B1 394.000
TGS C1 582,500
TGS D1 639,000
TGS E1 819,000
TGS F1 1,053,000
TGS G1 1,370,000
TGS H1 1,784,000
TGS I1 2,465,000.
Hiyo ndiyo mishahara mipya ambayo waraka
umetoka Alhamis wizaran. Inaanza Julai 2014.
Asante
 
Jamani nakuja mbele yenu naomba nitumiwe kopi ya waraka wa mishahara mipya ukitoka utumishi.Sijui unayepi mapya!

Natanguliza shukrani.
 
Mishahara mipya july(ongezeko).
TGTS A1 546,000
TGTS B1 694.000
TGTS C1 782,500
TGTS D1 839,000
TGTS E1 1,219,000
TGTS F1 2,553,000
TGTS G1 2,970,000
TGTS H1 3,284,000
TGTS I1 3,665,000, Hii ndio mishahara mipya iliyotokana na mjadala wa miaka karibu 5 kat ya CWT NA SERIKALI Inaanza kutumika Julai,2014. By MWL OLUOCH - KKM-CWT.SASA WALIMU KAJENGE ACHENI KUPANGSHA VILABUN. HILI LITHIBITISHE. Naomba maoni yako mzee
 
Mkuu vumilia tu bado wiki 3.utadanganywa bure na sms feki.
 
Back
Top Bottom