Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tras 4 nadhan ni milion na kitu na tras 3 ni laki 9TRAS 4 na TRAS 3 ni sh.ngapi mwenye kufahamu hii maana hamna anayejibu
1,170,000Habari Wakuu...naomba mnijuze au kama mtu ana document inayoonyesha udadavuzi wa scale hii ya mshahara PGSS 6 anisaidie
Acha ufala ,ww si uliogopa umande unaona wenzako wama uhakika wa mshahara ww bado upo kwa shemeji yakomishahara ya watumishi wa umma ni vituko ndiomaana wanashinda kutwa kusifia ili angalau wapate uteuzi yaani ni shida sana , unaweza kujiuliza hivi mtu anaishije kwa hela kama hiyo, kuna mmoja afisa kipenyo alionyesha siku moja salary slip yake bar, aisee nilishangaa sana anawezaje kuwa hai kwa mshahara ule , Mungu awasaidie sana watumishi ni watu wa chini sana usione visuti vile na majigambo
Fala wewe unayeamini katika kuajiriwa kwa laki nne kwa mwezi , kwa taarifa yako nimeajiri vilaza kama wewe na nawalipa mshahara mzuri sio hizo laki nne zako na bado unaishi hujafa, hii inaomnyesha ni jinsi gani uwezo wako wa kufikiri ni mdogo, simu yeyewe unatumia huawei , nilishasema hapa uwezo wenu ni mdogo kwakua hamna elimu ya kujua ukweli mtu mwenye njaa hawezi kufikiri properly bel;ieve meAcha ufala ,ww si uliogopa umande unaona wenzako wama uhakika wa mshahara ww bado upo kwa shemeji yako
sent from HUAWEI
TRAS 3 ni 800,000 ndivyo wanavyosema...Naomba kujua TRAS3 na TRAS4 inasoma ngapi
Bila shaka ni mfagizi wa ofisi ya traTRAS 3 ni 800,000 ndivyo wanavyosema...
TGS E ni kiasi gani kwa sasa waungwana
Hizi scale za mishahara zinatofautiana kutokana na sector mfano TRA wana scale zao,TANROADS wana scale zao, TPA wana scale zao kwaio ni nzuri uangalie kwenye hiyo position yako wameweka scale gani ndo uanzie hapo.Wanabaraza naomba mnitoe tongo tongo TGS D (Tanzania Gov. Scale D) ni shilingi ngapi kwa sasa? Nataka kuachia tawi Private Sector niende huko lakini sijui kukoje...
==============
July 2014 UPDATE:
Wanabaraza naomba mnitoe tongo tongo TGS D (Tanzania Gov. Scale D) ni shilingi ngapi kwa sasa? Nataka kuachia tawi Private Sector niende huko lakini sijui kukoje...
==============
July 2014 UPDATE:
Haha...kwa usawa huu kazi ni kazi mkuu tupo pabaya Sana...
Mkuu na PGSS 7 je? Ni shilingi ngapi?1,170,000