Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

mishahara ya watumishi wa umma ni vituko ndiomaana wanashinda kutwa kusifia ili angalau wapate uteuzi yaani ni shida sana , unaweza kujiuliza hivi mtu anaishije kwa hela kama hiyo, kuna mmoja afisa kipenyo alionyesha siku moja salary slip yake bar, aisee nilishangaa sana anawezaje kuwa hai kwa mshahara ule , Mungu awasaidie sana watumishi ni watu wa chini sana usione visuti vile na majigambo
 
Acha ufala ,ww si uliogopa umande unaona wenzako wama uhakika wa mshahara ww bado upo kwa shemeji yako

sent from HUAWEI
 
Acha ufala ,ww si uliogopa umande unaona wenzako wama uhakika wa mshahara ww bado upo kwa shemeji yako

sent from HUAWEI
Fala wewe unayeamini katika kuajiriwa kwa laki nne kwa mwezi , kwa taarifa yako nimeajiri vilaza kama wewe na nawalipa mshahara mzuri sio hizo laki nne zako na bado unaishi hujafa, hii inaomnyesha ni jinsi gani uwezo wako wa kufikiri ni mdogo, simu yeyewe unatumia huawei , nilishasema hapa uwezo wenu ni mdogo kwakua hamna elimu ya kujua ukweli mtu mwenye njaa hawezi kufikiri properly bel;ieve me
 
Wanabaraza naomba mnitoe tongo tongo TGS D (Tanzania Gov. Scale D) ni shilingi ngapi kwa sasa? Nataka kuachia tawi Private Sector niende huko lakini sijui kukoje...

==============
July 2014 UPDATE:

Hizi scale za mishahara zinatofautiana kutokana na sector mfano TRA wana scale zao,TANROADS wana scale zao, TPA wana scale zao kwaio ni nzuri uangalie kwenye hiyo position yako wameweka scale gani ndo uanzie hapo.
 
ivi application za pccb mwisho line
na selection for interview huwa ni baada ya muda gani
 
Back
Top Bottom