Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Kabisa mkuu.unakuta uliajiriwa na diploma ukaomba mkopo ukapata ukimalza kusoma tu.wanaanza kukata kwenye salary ya diploma aisee hali inakuwa ngum zaid.
Mm mshahara wa pili tu baada ya kuingia kazini wakaanza kuchukua chao.
 
Hakuna mshahara wa masters kwa entry level kama sijakosea. Ila nafikiri masters yako inatumika kama added advantages mbele ya safari utakapokuwa kazini
Upo
Ila sijajua muulizaji anauliza masters ya afya ipi maana zipo nyingi.
 
Hakuna mshahara wa masters kwa entry level kama sijakosea. Ila nafikiri masters yako inatumika kama added advantages mbele ya safari utakapokuwa kazini
Inategemea ni master ya nini?,na upo taasisi ipi?,UDSM Tutorial assistant akienda kupiga master akirudi anakua assistant lecturer,hapo hapo clinic ya UDSM ,Medical officer akienda kupiga MMED anaesthesia akirudi analipwa PMGSS 11,baada ya 8 aliyoanza nayo kazi
 
Back
Top Bottom