Stevery2
JF-Expert Member
- Mar 3, 2012
- 397
- 46
mh! kianzia leo sifanyi kazi kwakieleele tena yani sijitumi ng'o hadi nifike TGS I ndo ntakua nakieleele....akhaaaa yani bado niko TGS C
haya bwana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mh! kianzia leo sifanyi kazi kwakieleele tena yani sijitumi ng'o hadi nifike TGS I ndo ntakua nakieleele....akhaaaa yani bado niko TGS C
769,000/=hiyo ni gross take home ni kitu kama mia tano na ushee
na TGS D je?
TGS D ni kama 589000
ni take home hiyo ama?
basic salary
nimeona wameandika wenye degree wanapata tgs d kwenye tangazo la utumishi tarehe 1 aprili
ina mana ndo salary ya degree hiyo??
Mishahara ya kibongo ovyo sana labda upate sehemu kama TANAPA,RUBADA,TCRA,TPDC,MSD, PPRA na Stamico
"Ambition is success's best friend"
tra vipi jamani? mishahara yao inakuwaje... nataka niombe asistance custom officer.....
nataka kujua kwanza kwasababu nilipo napokea zaidi ya 900,000/= Tsh.
just want to know, si unajua green pasture.
TRA vp?
nimeona wameandika wenye degree wanapata tgs d kwenye tangazo la utumishi tarehe 1 aprili
ina mana ndo salary ya degree hiyo??
Kama ni freshy lakini.. ila kama ulikuwa na diploma hapohapo serikalini ukaenda kujiendeleza ukarudi na degree unakuwa E ila kama ni freshy unapewa D. Wanaconsider experience rather than your degree.
Mshahara wa degree fresh from school unaanzia na TGS D.Kama ni freshy lakini.. ila kama ulikuwa na diploma hapohapo serikalini ukaenda kujiendeleza ukarudi na degree unakuwa E ila kama ni freshy unapewa D. Wanaconsider experience rather than your degree.
Viwango vya TGTS ni kwa ajili ya waalimu na TGS ni wafanyakazi wengine wa serikaliWana mix TGTS NA TGS. Waache dukue