Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Nijuzeni mshahara selikalini ngazi TGS E gross na take home ni kiasi gani.
 
769,000/=hiyo ni gross take home ni kitu kama mia tano na ushee
 
tra vipi jamani? mishahara yao inakuwaje... nataka niombe asistance custom officer.....

nataka kujua kwanza kwasababu nilipo napokea zaidi ya 900,000/= Tsh.

just want to know, si unajua green pasture.
 
Tra Assistant Tax officer, custom n.k Net ni laki 9 na uchee au 8.
 
nimeona wameandika wenye degree wanapata tgs d kwenye tangazo la utumishi tarehe 1 aprili
ina mana ndo salary ya degree hiyo??

Kama ni freshy lakini.. ila kama ulikuwa na diploma hapohapo serikalini ukaenda kujiendeleza ukarudi na degree unakuwa E ila kama ni freshy unapewa D. Wanaconsider experience rather than your degree.
 
Iyo kitu degree fresh from school dada, bila uzoefu wowote
 
Kama ni freshy lakini.. ila kama ulikuwa na diploma hapohapo serikalini ukaenda kujiendeleza ukarudi na degree unakuwa E ila kama ni freshy unapewa D. Wanaconsider experience rather than your degree.
Mshahara wa degree fresh from school unaanzia na TGS D.

Wa Diploma unaanzia na TGS C. Ukiwa na Diploma ukawa umeshafanya kazi muda mrefu na ukaenda kusoma degree inategemea ulienda kusoma ukiwa umepandishwa cheo na kufikia ngazi gani.

Kama ulikuwa umefikia TGS D inategemea pia ulikuwa kidato gani kwani kwa taarifa kila ngazi ina vidato hadi 12 yaani kuna TGS D1 hadi D12. Mfano umeenda kusoma ukiwa na TGS D4 ukirudi unarushwa vidato viwili unakuwa na TGS D6 au TGS D7.

Kutoka TGS moja hadi nyingine i.e. say kutoka TGS D kwenda TGS E ni hadi uwe umepandishwa cheo na siyo ukitoka kusoma.
 
Back
Top Bottom