Ngorongoro: Tundu Lissu atimiza malengo yake

You're very Smart!!!
 
Hivi hivi kweli ndiyo tutaenda Ikulu.Yaani kwamba kila kitu chetu CHADEMA lazma tutafute pale wazungu wanachotaka kuona au wanachopinga! Kumbe sasa tumekubali kua vibaraka wa wazungu!?Hivi tukiingia Ikulu si tutaweka wazi kua ushoga ni halali maana wazungu wanapenda ilo.
 
Nyooo umesahau kilichomtoa MakambaJr Uwaziri wakati wa Jiwe!!!!
 
Abduli anafaidika nalo Kwa kwenda kuuza Ummeme Kwa M7 kudanganya Ummeme wa solar


M7 ni Mwanza mapinduzi ndiyo maana alitufunguwa waTz Kwa kupost Ile picha akiwa na Abduli

Kazi kwenu wa Tz hatujielewi yaani M7 anawafungulieni Cods mabwege tumezubaa Siasa tuu Tena za maji taka
 
Tatizo kubwa ni kwamba mfumo umejipanga kwa 2025-2030 na baada ya hapo.

Ni vigumu sana kulikabili hilo.

Hapo TL kazuiwa kufanya mkutano Karatu maana wamasai wote wangeenda Karatu pangechimbika.
 
Tanzania sasa hivi imebakia kuwa Tanwood ya matukio baada ya Hollywood na Bollywood au Nollywood.

Sikatai kwamba TL aweza kuwa mwanasiasa alieko serious na siasa za nchi hii lakini mbona mwenyekiti wa taifa haongozani nae kwenye hizo operesheni ili kutia uzito?
 
Kumbe kumbe nyingi zinamaanisha haujui hata unawaza nini.Wewe endelea kunywa uji ushibe uanze uongouongo.
 
Tatizo kubwa ni kwamba mfumo umejipanga kwa 2025-2030 na baada ya hapo.

Ni vigumu sana kulikabili hilo.

Hapo TL kazuiwa kufanya mkutano Karatu maana wamasai wote wangeenda Karatu pangechimbika.
Hakuna mfumo unaoweza kumshinda Mungu
 
Kwa Ngorongoro mimi nakubaliana na wazo la Serikali.
Maana Watu walikuwa wanazidi kuongezeka kwa kuzaliana na mwisho kupoteza hifadhi muhimu sana kwa Taifa.
Ila hawakutumia njia nzuri ya kuwaondoa Wamasai.

Wangeongea nao kwa staha tu.
Kuhamisha watu sehemu moja na kuwapeleka sehemu Nyingine ni jambo la kawaida kabisa.

Nchi ina maeneo kibao yasio na umuhimu sana kwa Taifa kuna ubaya gani kuwahanishia watu huko.

Na nyumba wamejengewa.

Ngorongoro ni hifadhi ya Kimataifa ile lazima ilindwe.
Kambi ni Popote.
 
Hii picha leo nimeiona Aljazeera wamasai wakiwa wamekusanyika.
 
Kwa mujibu wa mtoa mada, wafuatao ni watu watatu maarufu zaidi hapa nchini Tanzania

1: Julias Nyerere
2: John Magufuli
3: Tundu Lisu
Huyo shetani hapo katikati hawezi kuwa karibu na nyerere hata kule mbinguni hayupo atakuwa anawaka moto balaaa kama jehanamu kupo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…