Nguruwe ni mojawapo kati ya wanyama HAYAWANI?

Muacheni kumsimanga mywetu,,ana akili timamu sanaπŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹
 
Na konokono je? Mimi naona ni sahihi kulingana na tamaduni za watu hisika machaguo yao
Uko sahihi,hakuna kisicholiwa duniani,inategemea mazingira na tamaduni husika,mleta mada anaona ni sahihi kula ng'ombe wakati India wanatamani kuzimia kusikia watu wanakula ng'ombe.
 
Umenikumbusha,

Jirani yetu utotoni aliwekewa jicho la nguruwe!!

Hapo kwenye Figo na ini, Hadi nithibitishe!!
 
Umenikumbusha,

Jirani yetu utotoni aliwekewa jicho la nguruwe!!

Hapo kwenye Figo na ini, Hadi nithibitishe!!
Sasa unataka uthibitisho Gani husomi world news?mtampenda tu mywetu😁
 
Hata nyoka, konokono, minyoo waliwe tu?

Maandiko mnayasomaje ninyi?
Congo na wachina wsnakula kila kitu anzia nyani, ngedere, kenge, nyoka, maduduwasha, mbwa, mamba, ndege zote na kila ukijuacho Hadi mende
 
Congo na wachina wsnakula kila kitu anzia nyani, ngedere, kenge, nyoka, maduduwasha, mbwa, mamba, ndege zote na kila ukijuacho Hadi mende
Ndio uhayawani wenyewe huo!!
 
Ndio uhayawani wenyewe huo!!
Hapana na wewe usiekula wanakuona hayawani , jitahidi kuheshimu machaguo ya wengine utakua na amani, binafsi sijawahi na sili nguruwe lakini siwezi kuwadiss Wala nguruwe Kwa sababu sidhuriki na lolote dhidi yao,
 
Hata Mimi sijawaongelea Wala nguruwe!!

Nimeuliza swali ikiwa nguruwe ni mojawapo kati ya wanyama HAYAWANI?
 
Huu wivu sijui utakuja kuisha lini, mbona mnatufuatilia sana na my wetu? [emoji848]
 
Mbona waafrika wengi hawatofautiani na huyo mwamba, tena wengine huongoza hadi nchi

Nguruwe apewe heshima yake
 
Tunakula na hakuna kitu mnafanya. Tena umenikumbusha kesho ijumaa naenda buchani kilo mbili, chap.
 
Mnawawekea wanyama wasiotambuwa lolote makosa ujuwe binadamu tulivyokuwa hovyo.

Potelea mbali kwamba ni chakula, lakini nguruwe ana IQ sawa na mtoto mdogo. Na kuna watoto wadogo wana akili kuliko watu wazima.

Go figure…
Kwake mbona anaona sawa tu, usikute hata nguruwe humwona binadam hayawani
Acha kiumbe aishi maisha yake
 
Mnawawekea wanyama wasiotambuwa lolote makosa ujuwe binadamu tulivyokuwa hovyo.

Potelea mbali kwamba ni chakula, lakini nguruwe ana IQ sawa na mtoto mdogo. Na kuna watoto wadogo wana akili kuliko watu wazima.

Go figure…
Hii ya kusema nguruwe ana IQ sawa na ya mtoto mdogo umeitoa wapi utushirikishe ufahamu?πŸ™

Naona wewe kidogo umeanza kunisaidia uelewa kuhusu swali nililouliza!!
 
Umenikumbusha,

Jirani yetu utotoni aliwekewa jicho la nguruwe!!

Hapo kwenye Figo na ini, Hadi nithibitishe!!
Uthibitishe nini tena wakati mwaka huu mtu kawekewa figo ya nguruwe huko amerika , apo sijaongea juu ya moyo waliopandikiza pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…