Nguvu ya JamiiAfrica ni usiri, kama utaondolewa utapunguza ufanisi wake

Hua siwaelew mnaosema JF Kuna usiri, ety kisa kuna fake ID, kwan mitandao mingine hakuna fake ID?
N bc tuu Melo hajabanwa mbupu
Ma server yanakamata ip address za watu,,,,kama wanakuamulia hawakukosi labda uwe umejificha huko Canada ila ukiwa hapa bongo halafu uone ID fake inakulindaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ ,ni kwamba hujaingia anga zao...........wenye uhuru kidogo walio nje ya nchi ila kama upo hapahapa bongo fake id haisaidii wanaku trace vizuri tu
 
Watu wnyw muda wote wanabishana mambo ya simba na Yanga, ety ndo wadukuliwe πŸ˜‚
 
Huu usiri tunabishana mpaka na rais, spika, waziri na hatujuani. Mambo ya kujuana yataondoa uhuru wa kutoa maoni. Ni ngumu kubishana na rais huku utambulisho wako uko wazi utadakwa na majasusi
 
Watu wnyw muda wote wanabishana mambo ya simba na Yanga, ety ndo wadukuliwe πŸ˜‚
Ndo maana wanajua fake id inasaidia,.....ishu ni kwamba hawajafanya jambo sensitive ila wakifanya fake id haisaidii kitu
 
Kuna waheshimiwa humu wapo, tunanyukana kwa hoja bila kujuana. Ni uhuru mkubwa maadamu sheria na kanuni za humu zinazingatiwa.
 
Ndo maana wanajua fake id inasaidia,.....ishu ni kwamba hawajafanya jambo sensitive ila wakifanya fake id haisaidii kitu
Kabisa mkuu, unakuta mtu anaringia fake id ety yupo huru afu mada zake n za mapenzi tuu πŸ˜‚
 
Mtaa umekulea mkuu hongera kwa hili post.

Hatutaki mambo ya Facebook hapa.
Wanangu kibao WaPo humu Ila wachache ndio wanajua nipo humu.

JF sio Kwa kila mtu
 
Melo sasa hv n mjumbe huko kwenye kulinda privacy za watu, hvy yupo chini ya boss wake, lolote lile linawezekana, hvy tusijifanye Tupo salama sana
Ila kweli.
Kawekwa kwa makusudi kabisa.
Kikiwaka, anawaka na sisi.
Aisee
 
Hili liko wazi sana
Uzi ukiwekwa hapa tunaandika chochote manake uzi ni wetu sio wake πŸ˜‚
Ndio mana yake.
Uzi ukiwa kichwani ni mali yake, ila akiuandika hapa ni mali yetu sote wanajamii.
Na tuna haki ya kuufanya chochote so akae kwa kutulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…