Nguvu ya no reforms no election na ushindi wake mitandaoni dhidi ya CCM, ni picha halisi ya jinsi CCM huiba kura!

Hakuna mwananchi mwenye akili timamu anayefurahia kuandaliwa kuwa mtwana nchini kwake mwenyewe.
Nilisha kueleza haya mara kumi, lakini unafikiri uchafu unaorudia rudia humu utanibadilisha msimamo?

Samia Suluhu Hassan is Doomed.
NO REFORM, NO ELECTION.
 
Walio doomed ni wale wasioelewa ukweli kwamba hakuna mwanasiasa anayemuandaa raia anayempigia kura awe mtwana kwenye nchi yake.

Kwa mwenye uelewa mpana anafahamu kuwa miundo mbinu inatumia gharama katika kuwekwa lakini lengo ni kumrahisishia mwananchi kufaidika na rasilimali zilizo nchi mwake.
 
Ukiwa ccm tu tayar unakuwa na matatizo kichwani
 
October TUNATIKI ✅✅✅✅✅
Mtiki wenyewe. Na hata mkiwa wenyewe bado mtaiba kura ili ionekane wengi wamepiga kura. Chizi huwa haponi
Ccm imezoea KUIBA KURA.
2020 Walialikwa vijana na walimu wasiojielewa kukisaidia ccm kupiga kura kwa wagombea wake siku mbili kabla ya uchaguzi. Mfano hayo yalifanyika pale ccm mkwajuni dar.
Ponjolo alichaguliwa kwa kura za wizi akiongozwa na JPM
 
Mtu bwege tu kama wewe ndiye asiyetambua kuwa ni mtwana kwa kulishwa tu makombo yaliyoachwa na mabwana zako. Uduni wako wa akili haukuwezishi kujuwa kwamba vitu vinavyojengwa kama hiyo miundo mbinu ni pesa za wananchi zinazofanya kazi hiyo; kwa hiyo unabaki unaimbaimba tu "miundo mbinu, miundo mbinu" bila kujuwa hilo
Na kwa vile huna akili ya kutosha huwezi kujuwa kwamba hata uwezo wa ujenzi na uendeshaji wa miundo mbinu hiyo inalazimu kuwapa mabwana zenu kuijenga na kuiendesha; kwa sababu akili zenu zimejikita katika hali ya utwana mtupu.
Hamamini kuwa sisi wenyewe tunao uwezo mkubwa wa kufanya yote hayo kwa ufanisi mkubwa.

Samia Suluhu Hassan na GENGE lake are Doomed.
 
October TUNATIKI
October TUNATIKI
October TUNATIKI
October TUNATIKI
October TUNATIKI
October TUNATIKI

✅✅✅✅✅✅✅✅✅🇹🇿✅🇹🇿
OLE WAKE MWANANCHI ATAKAYE ENDA KUPIGA KURA
OLE WAKE MWALIMU ATAKAYE SIMAMIA UCHAGUZI
OLE WAKE MGAMBO ATAKAYE SIMAMIA UCHAGUZI

No reform no election.
 
Wewe mpuuzi tu, huna unalolijua zaidi ya chuki kwa serikali ya SSH. Oktoba nenda kapige kura kwa Samia, achana na hizi kelele za kitoto unazojaza humu jukwaani.
 
Wewe mpuuzi tu, huna unalolijua zaidi ya chuki kwa serikali ya SSH. Oktoba nenda kapige kura kwa Samia, achana na hizi kelele za kitoto unazojaza humu jukwaani.
haya yote nilisha kwambia karibu mara tano huko nyuma.
Kama ni "CHUKI" kwa Samia; hilo usiwe na shaka nalo. namchukia kwa sababu ya kulihujumu taifa letu, uongozi wake mbaya; haya yote nilisha kueleza siku nyingi, lakini unarudia rudia tuuu hayo hayo.

Kwani wewe shida yako ni nini, kwenda kumwambia tu pawepo na MAREKEBISHO kabla ya uchaguzi mkuu, ili kila mTanzania mwenye sifa za kupiga kura, akashiriki uchaguzi HURU na wa HAKI; ili tumchague yeye Samia bila ya kutegemea njia za kuiba kura, au kuua waTanzania ambao yeye anadhani hawampendi?
 
OLE WAKE MWANANCHI ATAKAYE ENDA KUPIGA KURA
OLE WAKE MWALIMU ATAKAYE SIMAMIA UCHAGUZI
OLE WAKE MGAMBO ATAKAYE SIMAMIA UCHAGUZI

No reform no election.
Halafu mkitekwa mnaanza kulialia,
Yaani umzuie mtu na kibarua chake, mbullah
October TUNATIKI ✅✅✅✅✅
 
Mimi na wewe tukipiga soga humu JF, huko mikoani ahadi zake zinaendelea kutimizwa.

Kosa lenu ni kudumu na njia zile zile za kizamani za kisiasa bila ya kutambua ukweli kwamba CCM wanazo njia za kisasa za kuvutia hisia za wapiga kura.
 
Unaakili kisoda

maji ya kijani hayajawahi kumwacha salama mwana kijani yeyote
 
Mimi na wewe tukipiga soga humu JF, huko mikoani ahadi zake zinaendelea kutimizwa.

Kosa lenu ni kudumu na njia zile zile za kizamani za kisiasa bila ya kutambua ukweli kwamba CCM wanazo njia za kisasa za kuvutia hisia za wapiga kura.
Wewe "unapiga soga"; mimi sina muda huo wa kupoteza; kila mara naiwaza Tanzania yetu mnavyoinajisi watu wa hovyo kabisa kuwahi kuwa kwenye uongozi wa nchi hii.

Wewe huna uhusiano wowote tena na CCM kuizungumzia hapa, mbali ya kukiingilia chama hicho na kukitumia kufanya maovu yenu kwa waTanzania.
Unarudia rudia tu maneno: hizo "hisia za waTanzania" mbona mnazo hofu kubwa nazo. Kuna ugumu wowote wa kuruhusu hizo hisia wazionyeshe waTanzania kwenu; kwa kuweka mazingira ya uchaguzi yanayoruhusu watu waonyeshe hisia zao?

Wewe ni mtu wa hovyo kabisa.

NORNOE.

Samia Suluhu Hassan is Doomed.
 
Mimi na wewe tukipiga soga humu JF, huko mikoani ahadi zake zinaendelea kutimizwa.

Kosa lenu ni kudumu na njia zile zile za kizamani za kisiasa bila ya kutambua ukweli kwamba CCM wanazo njia za kisasa za kuvutia hisia za wapiga kura.
Halafu wewe ni mjinga fulani hivi, halafu wewe hapo ulipo unajiona ni PhD
 
Uchaguzi upo October 2025, wewe endelea kupoteza muda kwa kujifanya mzalendo wa nyuma ya keyboard.

Samia anaonyesha uzalendo kwa vitendo na kazi yake kila sehemu ambako ilani ya CCM inatekelezwa kwa vitendo watampigia kura ya kukubali kile anachokifanya muda huu.
 
Unachotakiwa kujua ni kuwa wapiga kura wengi hawako mitandaoni, na pia wapiga kura wengi hawawazi mengi kama wewe unayowaza. Pia wengi wa mtandaoni hawajajiandikisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…