Ni aibu kuwa na taifa ambalo Rais wake anaingilia Mhimili wa Mahakama na anajinasibu kufutia wakosaji makosa kinyume na katiba

Acha umbeya mtoto wa kiume uyu mbowe aliyekuwa anateswa na magufuli kamuuwa nani? Nyie ndo mnatakiwa kukamatwa mkajibu mashtaka pumbavu
Magufuli si bora kwakwe! We Rais wa nchi anaenda kuitangazia Dunia kuwa yule Gaid na wenzake wamehukumiwa tayar mchezo! Alafu baada miezi anakuja kumfutia kesi hivi tuna Rais au! Rais anatoa kauli ambazo haziminiki! Kama aliweza kuiaminisha Dunia kuwa huyu Gaidi ndiyo ukae uamini malidhiano manayofanya siri?

Mbowe ni mafia ukimuendea vibaya anakumaliza! Sio mtu wa mchezo mchezo yule
 
Kwani raisi amempa lema msamaha au amefuta kesi kwasababu ni wazi kabisa ilikua ni ya kiasi kisiasa.. Na kwasabab awamu hii iliamua kuuzika siasa za awamu ya tano Waka kubaliana kufanya maridhiano yakisiasa... Hamna sehemu raisi katoa msamaha
 
Kuendelea kumuweka magereza sabaya ni kuendeleza siasa za awamu ya tano.
 
[emoji1787] ndio huu huu umbeya ninaokwambia uupunguze mtoto wa kiume. Ukiambiwa ulete ushahidi utaanza kujamba hovyo.
 
[emoji1787] ndio huu huu umbeya ninaokwambia uupunguze mtoto wa kiume. Ukiambiwa ulete ushahidi utaanza kujamba hovyo.
Ushahidi wa nn unataka? omba Mungu akukutanishe na watu muhimu then ukutanae kwenye michongo ya maana alafu jifanye mjuaji unaweka kauzibe kama hupotezwi
 
Mwenyekiti wa CCM anayewafunga CCM wenzake na kuwafutia kesi upinzani.

Sawa vijana tumewakuza hapa JF kisa mnashabikia CCM basi mnajiona mmekuwa pumbavu zenu sana.
Nakufahamu vizuri sana.

Hata sitishiki aisee.

Unapoteza muda wako bure.
 
Samia ni member wa genge la wahuni wa msoga ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…