Ni aibu kuwa na taifa ambalo Rais wake anaingilia Mhimili wa Mahakama na anajinasibu kufutia wakosaji makosa kinyume na katiba

Twambie kwanza kosa la Godbless Lema, ni nini? Halafu tukwambie makosa ya sabaya
 
[emoji1787] ndio huu huu umbeya ninaokwambia uupunguze mtoto wa kiume. Ukiambiwa ulete ushahidi utaanza kujamba hovyo.
Ushahidi huu hapa .

Unakula ada .

Kijana wa hovyo kabisa wewe.

 
Kama mwanachama ni shetani....

Mwenyemeza atakuwa nani??

Kama Rais kaamua kusamehe na kufuta kesi kwanini asifute ya Sabaya??

Mwanachama wake ??
Kuna mashitaka ya uongo (kesi ya kusingiziwa) kwahiyo hapa ushahidi haueleweki. Mpaka nchi zile kubwa zinajua huyu jamaa amesingiziwa. Kwa kutoleta picha mbaya kwa nchi raisi anaamua kufuta tu. Kama ulikuwa unafuatilia mazungumzo ya kesi ya mbowe hapa jf utajua ile ilikuwa kesi ya mchongo na misaada ingeenda kubuma
Kuna kesi ya ukweli. Vielelezo vyote vya ushahidi kuwa umetenda kosa lipo. Hapa raisi hana mamlaka ya kufuta kesi kwasababu ni kweli umetenda kesi na vielelezo vipo.
 
Hata kesi za Sabaya ni za uongo.

Hakuna ushahidi.
 
Mbowe alikuwa anakesi ya mchongo ila Sabaya anakesi halisi. Sabaya ni jambazi hata polisi wanajua hili, wakimuachia huyu jamaa. Hawawezi kuishi miaka mingi uraiani ni kama Ditopile Mzuzuri.
Katoe huo ushahidi wewe maana wenzako wameshindwa kuuthibitisha.

Mnabwabwaja tu hapa mitandaoni ila mahakamani hamuendi kuutoa huo ushahidi.

Mtaani hawezi kufanywa lolote maana ana haki zote kama Mbowe aliyesamehewa kwa ugaidi.
 
Sasa hivi ndio mmejiridhisha kuwa rais anaingilia mahakama, ila sasa hivi ameingilia kuhakikisha inatenda haki. Mara zote huko nyuma mahakama zilitumika kukomoa wapinzani.
Tatizo linaanzia hapo kwenye kuingilia mahakamani, kama huko nyuma mahakama zilitumika kutotenda haki basi sasa hivi tulitegemea kutoona tena mahakama zikiingiliwa bali tungeona mahakama zikitenda haki huku zikiwa huru.
 
Katoe huo ushahidi wewe maana wenzako wameshindwa kuuthibitisha.

Mnabwabwaja tu hapa mitandaoni ila mahakamani hamuendi kuutoa huo ushahidi.

Mtaani hawezi kufanywa lolote maana ana haki zote kama Mbowe aliyesamehewa kwa ugaidi.
Unaandika hata hukijui. Ugaidi unaujua au unausikia? Ukamatatwe na kesi ya ugaidi halafu usamehewe?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Utasamehewa kwa ugaidi wa mchongo
Sabaya ni jambazi mzoefu ndiyo maana hata mama yako amekaa kimya.
Kama hana kesi, siku ya hukumu nenda ukamtolee ushahidi. Km ni ndugu yako subiri aipate haki yake. Huwezi kuishi unavyotaka kwasababu wewe ni kiongozi.
Sabaya ni Ditopile Mzuzuri hana siku nyingi.
 
Hata mitume walianza kuwasamehe hao wakosaji.

Msamaha ni kwa mkosaji sio kwa ambaye hana kosa?

Kama Rais anataka thawabu amsamehe Sabaya na sio Lema ambaye hana kosa

Lolote.
Thawabu kwa sabaya? Ukimtoa sabaya jela unapata dhambi
 
It's very simple and straight, kesi ya Lema ni kesi ya kubambikiwa(za kutungwa kwa sababu za kisiasa) wakati kesi za ujambazi za Sabaya anazokabiliana nazo ni criminal charges ambapo ameshitakiwa na watu aliowafahia uhalifu. Naamini hilo unalifahamu na unajitoa ufahamu lakini kama haulifahamu basi pages zinazohusu siasa za Kibongo si sehemu sahihi kwako.
Haiwezekani kiongozi awe anafanya reconciliation na opposition parties huku charges za kutunga walizobambikiwa watu wakati wa utawala wa Zimwi wa awamu ya tano huku zikiwa supported na Sukuma gang ziendelee kuwepo, kwanza ni kufuta kesi zote za uongo(za kubambikiwa watu kwa sababu za kisiasa na zinajulikana) ndipo pande zote zitaamini kwamba ni kweli nia ya dhati ya kufanya reconciliation ipo ni hiyo isitumike criminals kuitumia kama loophole nao kutafuta kufutiwa kesi zao za jinai.
 
Niambie ni mahakama ipi imemtia hatiani sabaya kwa makosa yake.

Anafuta kesi za kubumba huku anafunga wengine kwa kesi za kubumba.

Huu tuite nini??
Wewe ni Sabaya au ni ndugu yake? Walalamikaji dhidi ya Sabaya ni wewe utawalipa?
Kama kesi zake ni za Kubumba basi atashinda ila kwa kuwa ni jinai isiyohusiana na siasa basi tuiache mahakama ifanye kazi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…