Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
Sabaya ana kesi ya jinai! Anapaswa kuozea jela!
Miaka saba jela, faini Sh15 milioni kwa kumkashifu Rais Samia
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Simiyu imemhukumu kifungo cha miaka saba na faini ya Sh15 milioni, Levinus Kidanabi maarufu kama 'Chief Son's kwa makosa matatu ikiwamo kumkashifu Rais wa Jamhuri...
Anafunga CCM wenzake upinzani mjitahmini.
Ipo siku mtalia nawaambia.
Siku yenyewe haipo mbali.