Ni aidha uwe na mvuto au uwezo wa kuwahudumia. Vinginevyo wanawake hawana simile na wewe

Cha msingi pia kumwomba MUNGU maana wengine zikitokea shida tu huwaoni ..... unafanya KILA kitu ila holaa
 
Ukipenda kuish kiforumula kwenye maisha haya ya sasa utajikuta unakosa vingi na kuingia kwenye kujinyanya paa, mwisho utajiua we ukitaka kuish kwa amani we jipende wewe mwenyewe jikubal wewe mwenyew ila usivuke mipaka ya kiutu,pesa mvuto havina tija kivile vuta picha uko na pesa na mvuto alafu sehemu uliyopo haibebi mazingira uhalisia wa kile unachofikiria pesa mvuto mara nyng vina apply kwa watu wa mjini sisi wa vijijin ambako hata dem ukimuuliza mvuto ni nn hy mada haituhusu huku kwetu ukiwa na laki utakaa nayo mwez mzima utajikuta umetumia buku ten kununua sabun mafuta na kusagi, huku kwetu kuna watu hawajui hata bus/gari linafananaje
 
Kwan tunakula sura?πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwanza sisi tunajua wanawake ndo tunatakiwa kuwa wazuri πŸ˜…

Kuna uzuri WA Mwanamke na uzuri WA mwanaume.
Kuhusu uhalali wa uzuri hiyo Sheria ya kusema Mwanamke ndio anatakiwa kuwa mzuri umeitolea wapi?
Ukiangalia nature, viumbe madume ndio Wazuri na wanamvuto kuliko majike.
 
Mvuto wa mwanaume ni upi, Mwanamke hawezi kuishi na wewe eti kwasababu una sura nzuri tu. Hayo yatakuwa mapenzi ya muda tu, kikubwa ni pesa au uwezo wa kumtunza mwanamke. Mengine stori za mitandao uzuri hauliwi

Ndivyo wanaume wengi wanavyojidanganya,

Sex inauhusiano wa moja Kwa moja na mvuto WA maumbile.
Na sex ni moja ya kipengele muhimu kwenye Ndoa.

Elewa kuwa kazi na Pesa hata Wanawake wanaweza kuzifanya na kuzipata, pia Wanawake wanauwezo wa kujitunza lakini kitu pekee ambacho wanakitafuta Kwa mwanaume ni mvuto na uzuri WA mwanaume utakaotimiza hisia zao za ndani.
 
Aisee umenikumbusha kitu' sku moja nalikuwa kwenye city bus za bongo/Dalala bus kutoka na siti za dala dala kujaa Basi nikawa nimekaa karbu na kwa dereva pale kuangalia Nyumba Upande wa abiria , wakapanda vidosho wa kiarbu pale magomeni...may be walikuwa wanachuo maana mmoja alinipa counterbook nilishike ...Basi wakati Gari inatembea akaingiza goti lake Katika Kati ya paja zangu maana alikuwa amesimama ..Gari ikitembe anasukuma goti kuelekea sehemu nyeti ' Gari ikisimama anasimama wima ' ilikuwa usiku ..ikianza mwendo anasukuma Tena ukizingatia alikuwa beautiful kweli, Nywele ndefu na alikuwa na mdogo wake' ishort alinipa shida ya kisaikologia ' Nathani alipenda urefu wangu na mm niliogopa kushuka nae maana alianza kushuka yeye na mdogo wake':
Ukweli wanawake wanapenda mwonekano Ila mm skuwa na pesa ya kutosha siku hiyo ' hiyo nikaaingia uwoga:
Nilimpa counter book lake nikaangalia anavyo shuka kwenye Gari akiwa na mdogo wake' wa kike....sikuwa hata na peni mfukoni.
Kama ataona hii post ajue alinipa shida siku ile' akikumbuka lazima anipe code alishukia wapi.
Sometimes unawaza kuwa na mwonekano Ila ujasiri ukawa mchache.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…