Ni aidha uwe na mvuto au uwezo wa kuwahudumia. Vinginevyo wanawake hawana simile na wewe

Kwani hukuwa na simu unampa aandike namba
 
Daladala imejaa , taa imewasha ..unaanzaje kutoa simu Yuko na mdogo wake' , mm na yy ndio tulijua kinachoendelea ila nilikuwa mwoga pia sio miaka Mingi Ila ujasiri uliisha lingne Nilikuwa mtu church hivyo huenda alitumwa anitoe kwenye Imani au cjui niliwaza hivyo.
Kwani hukuwa na simu unampa aandike namba
 
Hata jini pia
Vipi unamtamani Sasa umeacha church
 
Mkuu acha kujifanya unawajua wanawake kuliko mungu aliye waumba aliye sema tuishi nao kwa akili kwa sababu wao wenyewe hawajui wana taka nini.

Kama una mvuto utagongewa kisa huna hela ,ukiwa na hela utagongewa kisa huna mvuto ,ukiwa navyo vyote utagongewa kisa huna nguvu za kiume,ukiwa nazo utagongewa kisa ww sio romantic na bahati mbaya tu duniani kote hakuna mwanaume ambaye anaweza kuwa na hivyo vyote kwa wakati mmoja.
Ukiona mwanamke ameamuwa kutulia na kuheshimu mahusiano au ndoa yake juwa hilo ameliamuwa kwa utashi wake na si kwasababu ya huo upuuzi unao itwa mvuto,pesa, sijui kumkojoza kitandani.

Alafu kingine acha kujidanganya mapenzi huwa hayana mahusiano yeyote na sura ya mtu mapenzi dhidi ya mtu huwa yanakuja tu automatic bila kujali hiyo uliye mpenda ana fananaje.
Hayo masuala ya mvuto yapo mitandaoni tu lakini mitaani hali ni tofauti kwa sababu wapo wanaume kibao ambao hawana muonekano wala pesa na bado wameoa wana wanawake wazuri tu na ndoa zao zina furaha.
Mm sijawahi kuona mwanaume ambaye alisha kosa mwana mke wa kuowa kisa muonekano wake lakini kuna wanawake kibao wazuri ambao wanatafuta hata hao wanaume wasio na mvuto ili wawaoe lakini hawawapati.
 
Nimekupa ushindi wa mezani bado hujaridhika?
Sasa mwanamke kusifiwa mzuri kwa mwanaume unataka tuwaze nini?
Kwan wanawake kwenu huwa mnawafanya nini?
Haya Njoo tugegedwe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Uzuri ni zaidi ya ngono. Upeo wako ni mdogo Sana.

Ukiona mtu muda wote anawaza kugegedwa au kugegedà pale anapoona uzuri ujue Akili yake Ipo Chini ya Akili ya ngedere
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…