Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Kama jogoo anaolewa na mtetea Sawa.
Au kama Simba dume anaolewa na Simba jike ni Sawa.
Na kama Beberu anaolewa na mbuzi jike ni Sawa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama jogoo anaolewa na mtetea Sawa.
Au kama Simba dume anaolewa na Simba jike ni Sawa.
Na kama Beberu anaolewa na mbuzi jike ni Sawa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwanajeshi akiwa na Sura ya Kazi inavutia zaidi.
Hata Wanawake wanapenda.
Lakini Sura ya Kazi alafu kazi huna huoni hapo kuna tatizo
Kwani hukuwa na simu unampa aandike nambaAisee umenikumbusha kitu' sku moja nalikuwa kwenye city bus za bongo/Dalala bus kutoka na siti za dala dala kujaa Basi nikawa nimekaa karbu na kwa dereva pale kuangalia Nyumba Upande wa abiria , wakapanda vidosho wa kiarbu pale magomeni...may be walikuwa wanachuo maana mmoja alinipa counterbook nilishike ...Basi wakati Gari inatembea akaingiza goti lake Katika Kati ya paja zangu maana alikuwa amesimama ..Gari ikitembe anasukuma goti kuelekea sehemu nyeti ' Gari ikisimama anasimama wima ' ilikuwa usiku ..ikianza mwendo anasukuma Tena ukizingatia alikuwa beautiful kweli, Nywele ndefu na alikuwa na mdogo wake' ishort alinipa shida ya kisaikologia ' Nathani alipenda urefu wangu na mm niliogopa kushuka nae maana alianza kushuka yeye na mdogo wake':
Ukweli wanawake wanapenda mwonekano Ila mm skuwa na pesa ya kutosha siku hiyo ' hiyo nikaaingia uwoga:
Nilimpa counter book lake nikaangalia anavyo shuka kwenye Gari akiwa na mdogo wake' wa kike....sikuwa hata na peni mfukoni.
Kama ataona hii post ajue alinipa shida siku ile' akikumbuka lazima anipe code alishukia wapi.
Sometimes unawaza kuwa na mwonekano Ila ujasiri ukawa mchache.
View attachment 2749365
Wewee ni tatizo 🤣🤣🤣
Usiishi ili kumvutia mwanamke bali ishi maisha yako na yeye akipendezwa nayo ndio muingie mikataba yenye uhalisia.....
[emoji3][emoji3]
Mkisikia uzuri mnawaza tuu kugegedwa. Hiyo ni dalili ya Upeo mdogo
Ila mnatuvuruga sana. Hatujui tukomae na lipi[emoji23]Mi nataka pesa mengine tutaelekezana sisi watu wazima [emoji23]
Kwani hukuwa na simu unampa aandike namba
Hata jini piaDaladala imejaa , taa imewasha ..unaanzaje kutoa simu Yuko na mdogo wake' , mm na yy ndio tulijua kinachoendelea ila nilikuwa mwoga pia sio miaka Mingi Ila ujasiri uliisha lingne Nilikuwa mtu church hivyo huenda alitumwa anitoe kwenye Imani au cjui niliwaza hivyo.
Mkuu acha kujifanya unawajua wanawake kuliko mungu aliye waumba aliye sema tuishi nao kwa akili kwa sababu wao wenyewe hawajui wana taka nini.Ndivyo wanaume wengi wanavyojidanganya,
Sex inauhusiano wa moja Kwa moja na mvuto WA maumbile.
Na sex ni moja ya kipengele muhimu kwenye Ndoa.
Elewa kuwa kazi na Pesa hata Wanawake wanaweza kuzifanya na kuzipata, pia Wanawake wanauwezo wa kujitunza lakini kitu pekee ambacho wanakitafuta Kwa mwanaume ni mvuto na uzuri WA mwanaume utakaotimiza hisia zao za ndani.
Ila mnatuvuruga sana. Hatujui tukomae na lipi[emoji23]
Hata jini pia
Vipi unamtamani Sasa umeacha church
Ngoja nianze na gym maana ndio rahisi[emoji23]Komaa na PESA kwanza [emoji23]
Ngoja nianze na gym maana ndio rahisi[emoji23]
Nimekupa ushindi wa mezani bado hujaridhika?
Sasa mwanamke kusifiwa mzuri kwa mwanaume unataka tuwaze nini?
Kwan wanawake kwenu huwa mnawafanya nini?
Haya Njoo tugegedwe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]