Hata mimi zamani nilikuwa sizipendi ...nilianza kuzila kwa kuzisikilizia ndiyo nikagundua kuwa ni nzuri tuNdio hivyo ila mimi sijawah kuzipenda mkuu, zikitiwa kwenye dagaa huwa nakula dagaa tu.
Kuna watu wanakula mbichi kabisaa na chumvi tu.
Hiyo ni biringanya nalia ugali, wali, n.k.Hizo mboga ulizo tsja unslia chakula gani ugali ? Uchungu wa mchunga unachujwa vizuri na kubaki kidogo ule uchungu ndiyo unanogesha hiyo mboga nikama pilipili au ndimu kwenye mboga
Birian hata kuionja tu siwezi Huwa nikiona tu najua hapa hakuna chakula Bali Kuna mapamboMkuu kwenye ndizi nakubaliana na wewe ingawa natokea unyakyusani kwenye ndizi nyingi, ila kuna ndizi kwetu wanaita ndizi uganda zile ukipikia supu ya nyama ni zaidi ya utamu.
Kitu nilichogundua Afrika tumebarikiwa kuwa na vyakula vingi vitamu, mavyakula ya kimagharibi na asia(isipokuwa India na China)mengi chenga. Sijui Shawarma,Pizza,Burger,Biryani ni utapeli mtupu
nakazia. mdudu+castle+ndiz = real life indeed.Mdudu +castle=real life
mimi huwa nikiona mlenda picha mbaya sana inajengeka kichwani kwanguMlenda,
Aisee Hiii mboga sili Hata Kwa RUNGU
Wapo wanakula tena bila kutia samaki wala nyama kabichi tupuHivi Kuna mtu anapenda kabichi si tunalia(ga) shida tu jamani..😔ila hii mboga iheshimiwe inatusaidia(ga) nyakati za shida hasa misibani😊
watu baadhi wanashida ya matatizo ya akili si bure..🤣Mbona hiyo tamu, kuna zile wanachuma porini ni mnafu sijui aloo ni chungu ila watu wanakula na kuzipenda.
Hapo Kwa red ndio ukweliKuna baadhi ya watu lazima wanywe chai ya rangi mara 4 au 5 Kwa siku..
Asubuhi,mchana,jioni, usiku,
Na asipopata kikombe Cha chai kichwa kinauma au anakuwa hayupo sawa..
Inamaana wametoa sana madini ya chuma tumboni sio?
Ndy maana akikosa chai ya rangi kichwa kinauma?
Au chai huleta uraibu?
Inaleta Alostoo!!Kwahyo wale ambao bila kunywa chai ya rangi kichwa lazima kiume, anakuwa amekosa madini gn?
Au amezidisha kuondoa madini ya chuma?
Chai ya rangi zaidi ya kuleta joto mwilini haina maana yeyote..
Kama mini asee huwa napiga tangawizi tu, ikikosekana basi choochote ila sio TATEPA, CHAI JABA Hata Kahawa hapanaSinywi kitu kinaitwa chai,
Iwe ya maziwa au ya rangi.
Asubuhi always nakunywa soup au juice mwaka wa 30 huu...
Tangawizi,majani ya mchai chai kidogo yanashawishi ila pia sishughuliki nayo zaidi ya soup au juice.Kama mini asee huwa napiga tangawizi tu, ikikosekana basi choochote ila sio TATEPA, CHAI JABA Hata Kahawa hapana
Hyo mchai chai na tangawizi ndy mpango mzima,Inaleta Alostoo!!
Mimi ilikuwa nikiacha kutumia siku inakuwa ndefu kwa maumivu ya kichwa so nikaipiga chini kiubishi 2007 ile mpaka leo sitii pua kwenye majani ya chai.
iwe ya rangi au maziwa hapana, now napiga tangawizi na green tea (mchai chai) hata nisipokunywa mwezi nakuwa fresh tu.
BirianiNaona sushi kinakuwa overrated lakini mimi sijawahi kukielewa kabisa pamoja na chapati za kusukuma kila mtu ana hype chapati maharage ila mimi sizielewi kabisa.
vichwa vya kuku broiler, utumbo na miguu yake mnawezaje kula ndugu zangu wahadzabe wa Dar es salaam?🐒Naona sushi kinakuwa overrated lakini mimi sijawahi kukielewa kabisa pamoja na chapati za kusukuma kila mtu ana hype chapati maharage ila mimi sizielewi kabisa.
Same here🙌vichwa vya kuku broiler, utumbo na miguu yake mnawezaje kula ndugu zangu wahadzabe wa Dar es salaam?🐒
Tatizo chapati zinabagua mboga.Chapati? Seriously?
Mi naweza kula chapati milo mitatu mwaka mzima