Ni dharau kubwa Kiongozi wa Taifa letu kutoa risala huko Brazil wakati wanaotakiwa kusikiliza wanaendelea na shughuli za kupakua chakula

Anaomba kusaidiwa wakati wameenda na msafara wa watu 100 huku nchi tajiri zikienda na watu wachache!...nahisi wazungu huwa wanajiuliza maswali mengi sana kuhusu ngozi nyeusi
 
La msingi ni huo mfano wa muda wa msosi harusini huwa MC anamleta mpiga tumba kuburudisha au mpiga tumba, then watu wakimaliza kula anatolewa ziendelee ratiba za zawadi.
 
Ah ha ha haa ha ha akija huku sasa hata kukohoa raia haturuhusiwi
 
Ah ha ha haa ha ha akija huku sasa hata kukohoa raia haturuhusiwi
 
Hakuna Raisi au mtu wa maana nje anaweza sikiliza Samia, viongozi wetu huitwa kukamilisha ratiba. Heshima ya nchi ni kujenga uchumi wako, first agenda duniani kote ni kujenga uchumi imara wa nchi yako, sio risala , nani ata sikiliza Rais masikini duniani? Uta washauri nini wakuelewe? Hicho nacho kishauri mbona usikifanye wewe Tanzania ilaendelea? Upuuzi wa Marais wa Africa ni huo, kupoteza muda mwingi kufanya vitu vya kijinga.
 
Bora Magufuli alilitambua mapema akasusa.
 
Magufuli alitushika watz,...maana kila alipokuwa akihutubia, kuna sintofahamu inaenda kutokea...
 
Tatizo hotuba yake ilijaa umatonya na njaa. So waliamua kumjibu kwa vitendo! Amalize aendelee na msosi!

Prof. PLO Lumumba anakwambia incumbent African leaders are disrespected in international meetings/gatherings simply because they lack moral audacity and mental emancipation.
 
Kwenye hivyo vikao, viongozi wa kiafrika wakihutubia ndio muda wa watu kwenda nje kunyoosha viungo, kuvuta sigara, na mambo kama hayo.
Waambie ukweli Hawa machawa hawaelewi kitu chochote kabisa mwamba!
 
Lakini kuna mtu alisema humu kwamba kaushangaza ulimwengu kwa hotuba yake na mwingine alienda mbali zaidi kusema kwamba ni kiongozi mwenye ushawishi mkubwa.Sasa hapa mbona unatueleza tofauti kiongozi
chawa ni wapuuzi sana.
 
Reactions: IIS
Hili lingeweza kuepukika kwani watu.wa protokali wa embassy ya Tanzania.Rio watakuwa walipewa ratiba kabla. Wangeweza ku argue kuhusu timing ya kumpa mama nafasi.

Its an honour kualikwa G20 hasa Kwa raisi.Daktari Phd. Kutoka afrika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…