Hivi huko ndani ya CCM hakuna viongozi toka Zanzibar?Wewe umeshikilia referendum ikiwa wakati wa kuchagua viongozi wanaowataka kisheria , Jeshi la Tanganyika pamoja Na usalama wao wa Taifa huwafanyia unyamar huu
Hiyo referendum itafanyika vipi?
Mbona unajichanganya mwenyewe.
Samia siyo Amiri Jeshi Mkuu wa vyombo vya dola kama alivyokuwa Mkapa? Kwa nini majeshi yatii amri za watu wengine katika kulinda au kuvunja muungano!
Yaani ni ngumu kweli kweli.Kama mkuu 'Zawadini' bado haelewi haya uliyoweka hapa na mifano halisi uliyoweka, siyo kwamba hana uwezo wa kuelewa, bali hataki kuelewa.
Inavyoelekea wewe hupo na huyajui yanayoendelea . Au unajitia upofuHivi huko ndani ya CCM hakuna viongozi toka Zanzibar?
Hawa viongozi hawana lolote wanalochangia ndani ya chama hicho na kuyasimamia maamuzi yanayochukuliwa?
Hujamtaja Samia hapa kwa maksudi au vipi?Inavyoelekea wewe hupo na huyajui yanayoendelea . Au unajitia upofu
Hawa viongozi wa CCM Zanzibar wanawekwa na CCM ya Tanganyika. Au huelewi ?
Hao akina Maalim na wenzake walifukuzwa CCM kwa kujaribu kuikosoa CCM.
Hata akina Mansour hivi karibuni aliifukuzwa na wenzake pamoja Na Hassan Moyo
Yule Kada mkubwa wa CCM Baraka Shamte alipojaribu kutoa maoni yake vijana wa usalama walienda kumpiga na kumtisha.
Kwani hivi uliuliza kitu kuhusu Samia huko juu?Hujamtaja Samia hapa kwa maksudi au vipi?
Huyu ndiye Mwenyekiti wa Chama hicho, Rais wa Jamhuri na Amiri Mkuu!
Bado hutaki kuelewa kwamba huyu ndiye mwenye madaraka yote katika nchi hii.
Lakini, kama unavyojuwa wewe na sisi sote, sasa hivi anafanya kila liwezekanalo kuifaidisha Zanzibar kutokana na Muungano kuliko wakati mwingine wowote na hakuna anayesema neno juu yake.
Isipokuwa, inapokuja kwenye swala la "kuikomboa Zanzibar" kwa mjibu wenu, hapo madaraka yake yanayeyuka?
Sasa tuachane na mizunguko hii isiyokuwa na tija.Unayekimbia ukweli ni wewe kuwa Tanganyika inaitawala kwa mabavu Zanzibar na ushahidi wa unyama unaofanywa na majeshi yake na vyombo vyake vya usalama umewekewa ushahidi
Sasa tuachane na mizunguko hii isiyokuwa na tija.
Samia ndiye mkuu wakati huu, mwafaka kabisa, achukue hatua stahiki kuikomboa Zanzibar.
Ili awakomoe waTanganyika, lakini asithubutu kuikomboa Zanzibar, au siyo?Hao waliomweka wanajua walimweka kwa kazi gani
Ndivyo walivyokuambia?Ili awakomoe waTanganyika, lakini asithubutu kuikomboa Zanzibar, au siyo?
Walaumu viongozi wako toka huko huko Zanzibar.Ndivyo walivyokuambia?
Ukweli huu kabisa hutaki kuusikia
kuwa Tanganyika inaitawala kwa mabavu Zanzibar na ushahidi wa unyama unaofanywa na majeshi yake na vyombo vyake vya usalama umewekewa ushahidi au nikuwekee tena ushahidi wa unyama wanaoufanya?
Mkuu Kalamu;Ina maana wewe huna maoni, ila kazi yako ni kuwasilisha maoni ya wengine!
Naona hutaki uonekane unasimamia wapi, ndiyo maana unakana unayoandika na kuyafanya kama ni maneno ya nayosemwa na wengine.Mkuu Kalamu;
Sina hakika ikiwa unaelewa kinachoandikwa. Hivi kwenye maelezo yangu ni wapi nimesema nawasilisha maoni ya wengine?
Hata hivyo hayo ni maoni yako. Unao uhuru wa kutoa maoni.
Liliongezwa ili kuwadidimiza Wazanzibari. Walijua Wazanzibari wakiendelea kuwa na elimu watakuwa ni tatizo.Mengine yaliongezwa kwa manufaa ya Wazanzibar. Elimu ya Juu si suala la muungano. Nyerere na akina Sitta walisema gharama za kusomesha ni kubwa Zanzibar itakuwa nyuma kielimu liongezwe.
Mkuu sio Wazanzibari wamesoma Bara. Weka kumbukumbu sawa. Kuhusu HESLB kudhamini Wazanzibari tafadhali toa takwimu. Hata ikitokea hivyo unavyosema, ni wajibu wa HESLB kudhamini Watanzania.Wazanzibar wote wamesoma bara kama Wabara . Leo hii HESLB inadhamini Wazanzibar wengi kuliko ZHESLB
Bandari haijawahi kuwa ya muumgano. Bandari ya Bagamoyo inaweza kuwa ni tatizo kwa Zanzibar nayo ilifanywa hivyo ili Zanzibar iwe tegemezi. Mara nyingi ndivyo inavyotakiwa Bara.Bandari , Zanzibar walipoondoa ili iwe huru hakuna aliyewazuia. Matokeo yake meli kubwa zinashusha Dar
Kuna Bandari kubwa Bara. Zanzibar walitakiwa waseme suala la Marine liwe Zanzibar. Kuleta ushindani na Bara ni tatizo kwao. Hivi Bagamoyo ikikamilik
Tunazungumzia JMT kwa hivyo haijalishi Katiba ya Zanzibar kutambua waziri mkuu. Waziri Mkuu ni wa JMT.Katiba ya Zanzibar ya 2010 haimtambui Waziri mkuu wa JMT
Waziri mkuu wa JMT hana mamlaka hata ya kuamuru Sheha. Leo inajengwa Ofisi yake , ya nini?
Mkuu hivi ndivyo ilivyo hivi sasa kwa 21%. Nayo hakuna siku imetekelezwa kwenye ajira.Ajira ziwe 21 ya mambo 7 tu ambayo Warioba ameyaanisha. Masuala ya ardhi kila upande uwe na sheria zake. Mchango wa kuendesha JMT utoke pande zote,
Asante kwa kunielewa na kuelewa kinachopaswa kujadiliwa. Hili la mjadala nje mada yenyewe hongera sana kwa kuliona.Naona hutaki uonekane unasimamia wapi, ndiyo maana unakana unayoandika na kuyafanya kama ni maneno ya nayosemwa na wengine.
Hata hivyo huu usiwe mjadala mwingine nje ya mada yenyewe.
Sawa mkuu. Najua unataka spoon feeding.EeenHeee Heee!
Nilisema porojo, na bado unaendeleza porojo zilezile!
Kwani viongozi wangu ndio walitoka kwenye jeshi la Tanganyika waliofanya unyama Zanzibar?Walaumu viongozi wako toka huko huko Zanzibar.
EeeeNHeeee Heeee!Asante kwa kunielewa na kuelewa kinachopaswa kujadiliwa. Hili la mjadala nje mada yenyewe hongera sana kwa kuliona.
Ndio wenye amri kwenye jeshi hilo sasa hivi; na huko nyuma viongozi wa CCM toka Tanganyika walisikiliza hao hao wezao wa CCM kutoka Zanzibar wanataka nini kifanyike.Kwani viongozi wangu ndio walitoka kwenye jeshi la Tanganyika waliofanya unyama Zanzibar?