Ni halali Wazanzibari kufanya kazi za Watanganyika?

Ni halali Wazanzibari kufanya kazi za Watanganyika?

Wewe umeshikilia referendum ikiwa wakati wa kuchagua viongozi wanaowataka kisheria , Jeshi la Tanganyika pamoja Na usalama wao wa Taifa huwafanyia unyamar huu

Hiyo referendum itafanyika vipi?

Hivi huko ndani ya CCM hakuna viongozi toka Zanzibar?
Hawa viongozi hawana lolote wanalochangia ndani ya chama hicho na kuyasimamia maamuzi yanayochukuliwa?
 
Mbona unajichanganya mwenyewe.
Samia siyo Amiri Jeshi Mkuu wa vyombo vya dola kama alivyokuwa Mkapa? Kwa nini majeshi yatii amri za watu wengine katika kulinda au kuvunja muungano!

Ndiyo maajabu hayo. Kwa nini Mkapa hakujua unyama utakaofanywa na majeshi Pemba wakati yeye ndiye Amiri jeshi mkuu?
 
Kama mkuu 'Zawadini' bado haelewi haya uliyoweka hapa na mifano halisi uliyoweka, siyo kwamba hana uwezo wa kuelewa, bali hataki kuelewa.
Yaani ni ngumu kweli kweli.
Wale wale wa Maalim waliotaka referendum akiwa hai leo hawataki tena! unafiki haujaacha mtu salama
 
Hivi huko ndani ya CCM hakuna viongozi toka Zanzibar?
Hawa viongozi hawana lolote wanalochangia ndani ya chama hicho na kuyasimamia maamuzi yanayochukuliwa?
Inavyoelekea wewe hupo na huyajui yanayoendelea . Au unajitia upofu

Hawa viongozi wa CCM Zanzibar wanawekwa na CCM ya Tanganyika. Au huelewi ?

Hao akina Maalim na wenzake walifukuzwa CCM kwa kujaribu kuikosoa CCM.

Hata akina Mansour hivi karibuni aliifukuzwa na wenzake pamoja Na Hassan Moyo

Yule Kada mkubwa wa CCM Baraka Shamte alipojaribu kutoa maoni yake vijana wa usalama walienda kumpiga na kumtisha.
 
(November 30, 2021) – The Tanzanian government has not held security forces and aligned militia accountable for killings in Zanzibar during the 2020 elections, Human Rights Watch said today.

Human Rights Watch research has found that at least 14 people died and 55 were injured, as police, soldiers, and armed men in civilian clothes teargassed and shot at crowds, between October 26 and 30, 2020. The armed men also arbitrarily arrested, detained, and tortured opposition supporters on Zanzibar’s main islands of Unguja and Pemba. Neither the Tanzanian central authorities nor Zanzibari authorities have acknowledged, let alone investigated, the full scale and toll of the violence, despite a public outcry within the country, and calls for investigations, including by the United Nations High Commissioner for Human Rights.

Inavyoelekea wewe hupo na huyajui yanayoendelea . Au unajitia upofu

Hawa viongozi wa CCM Zanzibar wanawekwa na CCM ya Tanganyika. Au huelewi ?

Hao akina Maalim na wenzake walifukuzwa CCM kwa kujaribu kuikosoa CCM.

Hata akina Mansour hivi karibuni aliifukuzwa na wenzake pamoja Na Hassan Moyo

Yule Kada mkubwa wa CCM Baraka Shamte alipojaribu kutoa maoni yake vijana wa usalama walienda kumpiga na kumtisha.
Hujamtaja Samia hapa kwa maksudi au vipi?

Huyu ndiye Mwenyekiti wa Chama hicho, Rais wa Jamhuri na Amiri Mkuu!

Bado hutaki kuelewa kwamba huyu ndiye mwenye madaraka yote katika nchi hii.

Lakini, kama unavyojuwa wewe na sisi sote, sasa hivi anafanya kila liwezekanalo kuifaidisha Zanzibar kutokana na Muungano kuliko wakati mwingine wowote na hakuna anayesema neno juu yake.

Isipokuwa, inapokuja kwenye swala la "kuikomboa Zanzibar" kwa mjibu wenu, hapo madaraka yake yanayeyuka?
 
Kwani hivi uliuliza kitu kuhusu Samia huko juu?
Samia kaingia madarakani baada ya kifo cha Jiwe. Na njia zilizomfikisha hapo kila mtu anajuwa.

Unayekimbia ukweli ni wewe kuwa Tanganyika inaitawala kwa mabavu Zanzibar na ushahidi wa unyama unaofanywa na majeshi yake na vyombo vyake vya usalama umewekewa ushahidi
 
Unayekimbia ukweli ni wewe kuwa Tanganyika inaitawala kwa mabavu Zanzibar na ushahidi wa unyama unaofanywa na majeshi yake na vyombo vyake vya usalama umewekewa ushahidi
Sasa tuachane na mizunguko hii isiyokuwa na tija.

Samia ndiye mkuu wakati huu, mwafaka kabisa, achukue hatua stahiki kuikomboa Zanzibar.
 
Sasa tuachane na mizunguko hii isiyokuwa na tija.

Samia ndiye mkuu wakati huu, mwafaka kabisa, achukue hatua stahiki kuikomboa Zanzibar.

Hao waliomweka wanajua walimweka kwa kazi gani
 
Ili awakomoe waTanganyika, lakini asithubutu kuikomboa Zanzibar, au siyo?
Ndivyo walivyokuambia?

Ukweli huu kabisa hutaki kuusikia

kuwa Tanganyika inaitawala kwa mabavu Zanzibar na ushahidi wa unyama unaofanywa na majeshi yake na vyombo vyake vya usalama umewekewa ushahidi au nikuwekee tena ushahidi wa unyama wanaoufanya?
 
Walaumu viongozi wako toka huko huko Zanzibar.
 
Ina maana wewe huna maoni, ila kazi yako ni kuwasilisha maoni ya wengine!
Mkuu Kalamu;

Sina hakika ikiwa unaelewa kinachoandikwa. Hivi kwenye maelezo yangu ni wapi nimesema nawasilisha maoni ya wengine?

Hata hivyo hayo ni maoni yako. Unao uhuru wa kutoa maoni.
 
Mkuu Kalamu;

Sina hakika ikiwa unaelewa kinachoandikwa. Hivi kwenye maelezo yangu ni wapi nimesema nawasilisha maoni ya wengine?

Hata hivyo hayo ni maoni yako. Unao uhuru wa kutoa maoni.
Naona hutaki uonekane unasimamia wapi, ndiyo maana unakana unayoandika na kuyafanya kama ni maneno ya nayosemwa na wengine.

Hata hivyo huu usiwe mjadala mwingine nje ya mada yenyewe.
 
Mengine yaliongezwa kwa manufaa ya Wazanzibar. Elimu ya Juu si suala la muungano. Nyerere na akina Sitta walisema gharama za kusomesha ni kubwa Zanzibar itakuwa nyuma kielimu liongezwe.
Liliongezwa ili kuwadidimiza Wazanzibari. Walijua Wazanzibari wakiendelea kuwa na elimu watakuwa ni tatizo.
Wazanzibar wote wamesoma bara kama Wabara . Leo hii HESLB inadhamini Wazanzibar wengi kuliko ZHESLB
Mkuu sio Wazanzibari wamesoma Bara. Weka kumbukumbu sawa. Kuhusu HESLB kudhamini Wazanzibari tafadhali toa takwimu. Hata ikitokea hivyo unavyosema, ni wajibu wa HESLB kudhamini Watanzania.
Bandari , Zanzibar walipoondoa ili iwe huru hakuna aliyewazuia. Matokeo yake meli kubwa zinashusha Dar
Kuna Bandari kubwa Bara. Zanzibar walitakiwa waseme suala la Marine liwe Zanzibar. Kuleta ushindani na Bara ni tatizo kwao. Hivi Bagamoyo ikikamilik
Bandari haijawahi kuwa ya muumgano. Bandari ya Bagamoyo inaweza kuwa ni tatizo kwa Zanzibar nayo ilifanywa hivyo ili Zanzibar iwe tegemezi. Mara nyingi ndivyo inavyotakiwa Bara.
Katiba ya Zanzibar ya 2010 haimtambui Waziri mkuu wa JMT
Waziri mkuu wa JMT hana mamlaka hata ya kuamuru Sheha. Leo inajengwa Ofisi yake , ya nini?
Tunazungumzia JMT kwa hivyo haijalishi Katiba ya Zanzibar kutambua waziri mkuu. Waziri Mkuu ni wa JMT.
Ajira ziwe 21 ya mambo 7 tu ambayo Warioba ameyaanisha. Masuala ya ardhi kila upande uwe na sheria zake. Mchango wa kuendesha JMT utoke pande zote,
Mkuu hivi ndivyo ilivyo hivi sasa kwa 21%. Nayo hakuna siku imetekelezwa kwenye ajira.
 
Naona hutaki uonekane unasimamia wapi, ndiyo maana unakana unayoandika na kuyafanya kama ni maneno ya nayosemwa na wengine.

Hata hivyo huu usiwe mjadala mwingine nje ya mada yenyewe.
Asante kwa kunielewa na kuelewa kinachopaswa kujadiliwa. Hili la mjadala nje mada yenyewe hongera sana kwa kuliona.
 
Asante kwa kunielewa na kuelewa kinachopaswa kujadiliwa. Hili la mjadala nje mada yenyewe hongera sana kwa kuliona.
EeeeNHeeee Heeee!

Naona ndivyo ulivyo. Ni tabia yako ilivyo kama inavyojidhihirisha tena hata hapa.
Siyo lengo langu kubadili tabia yako.
 
Kwani viongozi wangu ndio walitoka kwenye jeshi la Tanganyika waliofanya unyama Zanzibar?
Ndio wenye amri kwenye jeshi hilo sasa hivi; na huko nyuma viongozi wa CCM toka Tanganyika walisikiliza hao hao wezao wa CCM kutoka Zanzibar wanataka nini kifanyike.
 
Back
Top Bottom