huyu anapiga kelele kwa sababu yuko nje ya ulaji. Akishapewa hautamsikiaHata hiyo hewa ya kujambia hamnayo matumboni
Kwani anaongea kuhusu ulaji?huyu anapiga kelele kwa sababu yuko nje ya ulaji. Akishapewa hautamsikia
Yani ilitakiwa iwe 50% sheria ikabadilishwa ika wa 25%, hapo ndio wazanzibari wakaja juu kuwa kwanini isiwe 50%Kwanini wapewe Asilimia 25
Inategemea umeishi muda gani huko, kama umekidhi vigezo vya kupata kitambulisho cha ukaazi una haki ya kugombeaKwa Mfano , mimi wa kutoka Kajunjumele Kyela ninaweza kukubaliwa kugombea Ubunge Chake chake , Mchambawima au kisiwandui kama Husein Mwinyi alivyogombea Mkuranga ?
don't trust a politician, wana akili wanapokuwa nje ya mfumo. akishaingia ananyamaza.Kwani anaongea kuhusu ulaji?
Au hujamsikiliza
don't trust a politician, wana akili wanapokuwa nje ya mfumo. akishaingia ananyamaza.
Ndivyo wabongo tulivyo!!Hujasikiliza chochote alichosema ukamtoa makosa unarukia tabia Za wanasiasa?
Unajidanganya mkuu ,Acheni hizi mambo sisi wote ni watanzania
Acheni hizi mambo sisi wote ni watanzania