Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
- Thread starter
-
- #161
Hao kina Sepetu wapo huko hata kabla John Okello hajampindua Sultan Jamshid!! Au hujui mbali ya wangazija na washirazi pia Machogo wa Tabora nao wapo Zanzibar tangu enzi za utumwa??Nenda Jozani pale utakutana na kina Sara na Josephu wanafanya kazi kwenye taasisi ya utalii. Mambo ya muungano hayajulikani tena, but I hope Jozani sio taasisi ya muungano.
Nope huyo ameniambia mwenyewe kama si mzanzibari.Hao kina Sepetu wapo huko hata kabla John Okello hajampindua Sultan Jamshid!! Au hujui mbali ya wangazija na washirazi pia Machogo wa Tabora nao wapo Zanzibar tangu enzi za utumwa??
Ni hivi hili la Wabunge linatatizo sana. Kwanza Wabunge wa Zanzibar wanachaguliwa na watu 2,000 lakini wana kura sawa na Mbunge wa Ubungo mwenye watu Milioni 1 na ushee wengi kuliko Zanzibar.Nguruvi3 wakati mwingine nikiwaza nguvu ya waziri mkuu huwa najiuliza nguvu yake bungeni. Ukiangalia hakuna wakati Bunge la Tanzania linajadili mambo mahsusi ya Tanganyika. Kila wakati wakati tunajadili mambo ya Nanjilinji Kilwa, na mbunge wa kiembesamaki naye anachangia. Ila wao kwenye baraza la wawakilishi hakuna Mtanganyika anayejadili mambo yao.
Kwa ivo kaajiriwa na serikali ama sekta binafsi??Nope huyo ameniambia mwenyewe kama si mzanzibari.
Tanzania ni the majority kila Mtanzania akiwemo Mzanzibari ana haki zote Tanzania yote ila Zanzibar ni the minority, haki ni kwa Wakaazi wa Zanzibar pekee. Mtanzania unaweza kumiliki ardhi Zanzibar kama mwekezaji.Kama ni hivyo kwann mtanzania bara haruhusiwi nunua ardhi Zanzibari kama kweli sisi wote ni uraua mmoja ambao ni JMT????
Hii hoja yako ni kama unajipinga mwenyewe bwana Paskali. Kama Mzanzibari na Mtanganyika wote wana hadhi sawa ndani ya Jamhuri ya Muungano Tanzania, ni kwa nini Mtanganyika amiliki ardhi Zanzibar kama mwekezaji (Yaani siyo raia) wakati Mzanzibar huku Tanganyika anamiliki Ardhi kama amilikivyo Mtanganyika?Tanzania ni the majority kila Mtanzania akiwemo Mzanzibari ana haki zote Tanzania yote ila Zanzibar ni the minority, haki ni kwa Wakaazi wa Zanzibar pekee. Mtanzania unaweza kumiliki ardhi Zanzibar kama mwekezaji.
P
Hakuna sababu kujenga ikulu Zanzibar? Hivi huyo Rais wa Tanzania akija Zanzibar si atafikia ikulu? Unataka afikie ikulu gani? Hivi rais wa Jamhuri huwa Zanzibar haimuhusu?Hakuna sababu za kujenga ikulu hizo ambazo basically zinahudumiwa na kodi za Watanganyika. Wazanzibar hawana mchango wowote kwahiyo hili ni kuongeza mzigo kwa mlipa kodi. Ndio Tozo mnazolundikiwa kuhudumia vitu visivyo na maana kama hivi
Rais wa Zanzibar si ana Ikulu? Kwani Marais waliotangulia walikuwa wakija Zanzibar walikuwa wanafikia wapi?Hakuna sababu kujenga ikulu Zanzibar? Hivi huyo Rais wa Tanzania akija Zanzibar si atafikia ikulu? Unataka afikie ikulu gani? Hivi rais wa Jamhuri huwa Zanzibar haimuhusu?
Akifikia hoteli au nyumba ya SMZ. Kumbuka: inayotaka kujengwa ni ikulu ya JMT. Ila kimsingi ikiwa haikujengwa itaipunguzia Zanzibar ya kutoa ardhi ila nachangia ili kuwaelimisha wale wasiojua.Rais wa Zanzibar si ana Ikulu? Kwani Marais waliotangulia walikuwa wakija Zanzibar walikuwa wanafikia wapi?
Ni wazi Tume ya Warioba iliona tatizo hilo na tume nyingi tu zilishauriNguruvi3 Jinsi ambavyo hakuna nafasi ya kujadili mambo ya Tanganyika kwenye Bunge la Tanzania, ndivyo hoja ya kuwepo kwa serikali tatu ama serikali za majimbo inavyopata mashiko.
Tangu 1964 hatujawahi kuwa na Ikulu, hakuna sababuAkifikia hoteli au nyumba ya SMZ. Kumbuka: inayotaka kujengwa ni ikulu ya JMT. Ila kimsingi ikiwa haikujengwa itaipunguzia Zanzibar ya kutoa ardhi ila nachangia ili kuwaelimisha wale wasiojua.
Kwa nini inatamaniwa Rais wa JMT ajengewe Ikulu mahali ambapo hana uwezo hata wa kuteua Mkuu wa wilaya. Huoni Ikulu ya JMT inakwenda kujengwa kwenye eneo ambalo Rais wa JMT hana mamlaka nako?Akifikia hoteli au nyumba ya SMZ. Kumbuka: inayotaka kujengwa ni ikulu ya JMT. Ila kimsingi ikiwa haikujengwa itaipunguzia Zanzibar ya kutoa ardhi ila nachangia ili kuwaelimisha wale wasiojua.
Tungekuwa na watanganyika wenye elimu bora ya Uraia wangewahoji wabunge waliko sasa bungeni kwenye uchaguzi wa 2025 kuwa ni kwa nini walikuwa Bungeni bila ya kutetea maslahi ya watanganyika?Ingallikuwa zama za Wabunge wa G55 haya yasingetokea, ni uharibifu wa pesa halafu kumbebesha Mtanganyika Tozo.
Yes kama tungalikuwa na elimu ya Uraia hili wangeulizwa wabunge na huenda ingalihitimisha ubunge waoTungekuwa na watanganyika wenye elimu bora ya Uraia wangewahoji wabunge waliko sasa bungeni kwenye uchaguzi wa 2025 kuwa ni kwa nini walikuwa Bungeni bila ya kutetea maslahi ya watanganyika?
Tuache kuishi kwa mazoea sasa...Ndivyo tulivyozeoshana...
Sikutaka "kushangaa", nikaona bora "nisikitike"!Nawaza sana mantiki ya kwenda kujenga Ikulu ndogo Zanzibar, ofisi ya Makamu wa Rais, na cha kustaajabisha sana ofisi ya waziri Mkuu. Hivi Waziri Mkuu ni mambo ya Muungano?? Hivi hawajui ni kwa nini tuna Waziri Mkuu kwenye serikali ya Muungano Tanzania?
iko siku tutakuwa na Waziri Mkuu toka Zanzibar na watanganyika watakaa kimya.