Ni kosa gani ambalo utalijutia maisha yako yote?

...kosa unalopaswa kujutia sana ni kuendelea 'kumpenda sana' baada ya kuwa mmepoteana kwa muda mrefu hadi wewe kuolewa na yeye kuoa.....
Hayo mambo ya..kisi..kisi..
kisi, mwishowe...Olalaaa !!! [emoji849][emoji849]
 
I feel you. pole sana mpendwa. Tatizo la kupenda sana halafu ukapenda paipopendeka..
 
Duh! Sasa unafanyaje mkuu? We Bikira? Upo CHAPUTA? Au we ni mtu wa mitaa yetu ilee, unatoa tu buku 5 zako, mnayamaliza, bila hata kufungua mdomo!!!
Fafanua hapo mkuu mwenzetu.

Najuta mpaka leo sijui kutongoza msichana/mke,kwani toka mdogo sikuwahi kutongoza.Sema utaratibu na upole wangu najikuta hata kutongoza siweziiiiii.Ukweli najutaaaa mpaka umri huu siwezi kutongoza.
 
Unamaanisha nini kumcontrol mumeo?
 
Duh! Sasa unafanyaje mkuu? We Bikira? Upo CHAPUTA? Au we ni mtu wa mitaa yetu ilee, unatoa tu buku 5 zako, mnayamaliza, bila hata kufungua mdomo!!!
Fafanua hapo mkuu mwenzetu.
Acha tuu,Mitaa yetu ile unafanya mambo yanaisha.Cha muhimu na msingi "zaaana" tuu
 
Nakubaliana na wewe 100% , shule kibongo bongo inazingua, unapoteza miaka mingi kusoma halafu ukipata hiyo kazi mshahara laki 6 [emoji15] .Kama mtu unawekeza muda wako kwenye business unatoboa vizuri tu

Ni kweli na haya ndio mambo wazazi au waalimu wanatakiwa kutushauri/kutusimamia.

Inabidi Mungu asaidie tuwe wazazi wazuri.
 
Mkuu nimecheka Sana eti ukae na dawati ujifanye unakagua vyeti ili ujipatie 1 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mda ushapita Sasa miaka 3 kutoka 2016 vipi ulishaoa au Bado Mambo magumu
Hahaaaa angalia usije kuoa woman of principle
 
Bsc ya nini mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…