Ni kosa gani kubwa ulilifanya kwenye maisha yako na usingependa wengine walirudie?

Kuoa, tangu nioe leo ni siku ya sita tu lakini mke kishaota mapum*. Na yeye, kuna katabia anataka akalete naiona jela kabisa inaniita. Hapa napata Mukaka kwanza nijawe na Busara ndio nirudi home! Yaan ata 7 haijaisha mama
 
1. Kuaimini partnerahip kwenye biashara na watoto wa kishua. Wewe unawaza kutanua biashara na mtaji yeye anawaza show off.

2. Kuacha kufanya biashara ya kuzoa taka, sasa hivi ningekula te da manispaa kwa ukubwa.

3. Kutomsikiliza wife juu ya kuwaamini marafiki, jamaa wanaokuja kukopa. Niliamini wife ana roho mbaya kumbe, nilikuwa najikaanga

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
kuwa na mazoea na mtoto wa mwenye nyumba.

shida aliyokuwa nayo huyo mtoto anaongea sana alafu muongo muongo.

juzi nimesikia ana mimba sasa nataka leo usiku niame kimya kimya asije akanisingizia mimi bure
 
Kukimbilia kufanya biashara bill kuweka asset Chini ,kufanya bishara Ni tactic Sana ,Ni hatari Kama Huna back up ya maana. Nimeangika akuna anaenione huruma nalaumiwa Tena wakt kipind nafany harakati Kila mweny familia ananiunga mkono nyoko snaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…