Ni kosa gani kubwa ulilifanya kwenye maisha yako na usingependa wengine walirudie?

Kumuamini mtu kupita kiasi kujaribu kumridhisha na kumpenda mtu asieijua thamani yako kamwe usije kufanya haya mambo utajutia kupoteza muda wako binadamu hawana shukrani.
Kumuamini mtu kupita kiasi kujaribu kumridhisha na kumpenda mtu asieijua thamani yako kamwe usije kufanya haya mambo utajutia kupoteza muda wako binadamu hawana shukrani.

👆👆👆 I second you mkuu 😭😭😭
 
True......
Very true.....
 
Mkuu ahsante kwa jibu zuri, lakini bado naomba kuuliza, Je lengo linaweza kuwa tajiri, kufanya kazi au nn? tafadhal mwongozo..
Hayo sio malengo mkuu matajiri wako wapi? wamepita kina mansa kankan musa wako wapi? mtu aliunyanyua uchumi wa misri kwa kupita tu lakini leo yuko wapi? so mkuu kazi na utajiri ni vitu vya njiani tu.
 
Hayo sio malengo mkuu matajiri wako wapi? wamepita kina mansa kankan musa wako wapi? mtu aliunyanyua uchumi wa misri kwa kupita tu lakini leo yuko wapi? so mkuu kazi na utajiri ni vitu vya njiani tu.
Ahsante mkuu, basi lengo kuu liwe nini?? mmoja amesema kumwabudu Mungu je ni sawa?!.! Karibu mkuu ufafanue.
 
Every mistake is actually a lesson!
Same as every failure.
We can say there are no mistakes/failures
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…