Ni kosa gani kubwa ulilifanya kwenye maisha yako na usingependa wengine walirudie?

Najuta kuzaliwa afadhali nisingezaliwa mateso juu ya mateso
miaka 10 sasa naumwa ugonjwa usioeleweka sijui ni kansa ya ngozi ?
Nikienda hospitali madoctor wanasema siyo kansa napewa madawa tu siponi
namuomba Mungu achukue maisha yangu au aniponye lakini hakuna hata moja linalotokea
kweli dunia jalala
 
Pole sana mkuu. Mkuu, usichoke kumuomba Mungu.
 
Pole sana mkuu. Mkuu, usichoke kumuomba Mungu.
Kwa maobi niliyoomba tokea niugue kama ningeyahamishia yakawa ni kuomba nipate pesa ningekuwa tajiri mkubwa
yani unaweza kuwa unaomba kila baada ya dakika kazaa lakini wapi
 
kwa kweli vijana huwa tunajisahau mno kwenye maswala ya ibada,nakutenga muda mahususi kwaajili ya muumba wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…