Ni kosa gani kubwa ulilifanya kwenye maisha yako na usingependa wengine walirudie?


Pole sana mkuu. Mungu ana sababu na wewe jua hilo hivo usiache kumuomba na kumshukuru kwa zawadi ya uhai, ipo siku isiyo na jina utaamka bila ugonjwa mwilini.
 
Agent of devil,
 
Kusoma shule ambayo sikupenda kusoma Ila nilienda kusoma kwa shinikizo la wazazi na ilini-cost maisha yangu yote ile shule sikuipenda kuanzia mkuu wa shule mpaka walimu wanaonifundisha

Umesoma Private umefaulu vizuri umepangiwa Sekondari ya Serikali na shule unayopangiwa haukuichagua kwenye machaguo yako iliuma sana alafu wazazi wanakomaa nenda hivyo hivyo usipingane na Serikali, balaa sasa kwenda kwenye shule kufanya ulinganishi huduma za kule Private na za Serikali ni tofauti kwanza vitabu vya kutosha hakuna, library haieleweki, maabara haieleweki experiment tunafanya kwa machale machale walimu nao hawaeleweki hadi karibia na mtihani ndio mwalimu anatokea kuja kufundisha kumbe anafundisha Private, vururuvururu mwisho ni ku-fail mazima wazazi hawaelewi mpaka waone matokeo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…