Ni kosa gani kubwa ulilifanya kwenye maisha yako na usingependa wengine walirudie?

Ni kosa gani kubwa ulilifanya kwenye maisha yako na usingependa wengine walirudie?

hapana, ila ilikua bado kiduchu tu, na ningeingia humo, wallahi yule takataka angerudisha mahari na pesa za sherehe

nawaonea huruma sana ME walio kwenye ndoa
Mkuu, huko juu kuna mwamba inaonekana currently ndoa yake inamtesa. Kaja ananiwakia sana, kisa nimemwambia uoe 😅😅
 
Kufanya biashara ya miamala badala ya vifaa vya umeme jumla na reja.
Hakika nakuwaga na majuto kwa kuchelewa kuianza hii biashara.
Nawaza nimepoteza 3 years kwa miamala na hakuna kitu nimevuna.
Nahitaji wakala wa SMP TAA
Vp hii biashara?
 
Back
Top Bottom