Ulichukua ENZI hizo riba asilimia 22. Pole sana, kama halijaisha nenda kaliuze Crdb au pbz Wana asilimia 12 Sasa hivi, upunguze machungu hata ya milioni 2.Kuchukua mkopo NMB wa miaka 7.wa 19500000kuja kupiga hesabu natakiwa kurudisha milioni 39 Ni aibu na kosa ambalo sitarudia maishani ninaishi kwa utumwa