Ni kosa kubwa sana kwa askari kunyang'anywa silaha yake

Ila ukipita mitaani kuna askari ukiwaangalia daah, huko sisipi waongeze muda iwe hata mwaka na nusu
 
Kwanini Hamza asingeachwa ili ahojiwe zaidi yeye mwenyewe?

Wakijibu hili swali nitag.
 
haya mtaalam twambie inatakiwa iwe angalau mita ngapi??ambapo pistol haifikishi risasi??
Hujaelewa kwa hali ya kawaida mfano mpokaji kaja kikawaida,haoneshi kuwa na silaha endapo mtapeana 1m distance utakua tayr kw action yoyte , pia kama mpo wawili mna silaha mfano mmoj anaongea na mtu ambaye si mmoja wenu mwenye silah mwingine anatakiwa awe 1m na nyie kuact kwa chochot
 
uzembe ni swala jumla jumla,sio kila mwenye kitambi ni mzembe.wengine wana miili ya chakula tu kama samo hang.
Mtaalamu Sammo alikuwa mtata toja akiwa kijana.ile alama mdomoni alipigwa chupa na jamaa zaidi ya wawili aliokuwa anapigana nao
 
Mkuu unawajua magaidi? Hivi mtu akimiliki pistol ni gaidi? Vipi yule aliyempiga mwenzake pale Sinza na yeye akijipiga nae ni gaidi?

Mleta mada yupo sahihi, kama umepata mafunzo ya kijeshi utaelewa. Kupokonywa silaha, kofia, mkanda au chochote cha jeshi ni uzembe na kosa kubwa sana kwa askari. Acha kubisha.

Nakumbuka intake yetu kuna silaha ilisahaulika uwanja wa kwata, tukiwa amala tunahesabu moja haikutimia, ile siku ndo nilijua kuwa jeshi hakuna mchezo mchezo. Tulipewa kichapo hatari.

Aliyepewa hiyo silaha alidodge wakati wa mapumziko. Silaha akaiacha uwanjani. Wakati tumemaliza kwata, tukarudisha silaha na ndipo ikagundulika moja haipo baada ya taratibu za kuhakiki silaha zilizotoka na zinazorudishwa.
 
ak 47 ni silaha ya kivita ila sio rafiki sana kwa malengo ya umbali mfupi,hasa kama mpinzani ana pistol au silaha fupi zaidi.

unachozungumza kwa mtumiaji mzuri wa pistol ni kitendo cha chini ya sekunde 2 askari wawili wako chini tayari.wakati huo silaha yetu kwa askari ina mazingira mengi sana kabla hujaruhusu ifanye kazi yake,hasa ukizingatia ni kwenye pilika za watu,yanawezatokea ya marehem akwirine story zikawa ndefu ndefu.

sababu hii pia ndio ilmbana hata askari wa stanbic maana angeachia risasi hovyo kwa hamza,zingishia kwenye eicher na vits za watu huko barabarani.
 

kumiliki pistol sio ugaidi,ila aina ya matumzi ya silaha ndio uagaidi wenyewe.

kwani pale ni kipi kilipotea,maana silaha zote alikuwa nazo hamza,na zilikombolewa.
wala mleta mada hajakosea,lakini upotevu wa silaha haukai kundi moja na upotevu wa vifaa vingine vya askari,silaha ni ishu sensitive sana.
 
Mtu mmoja hawezi kuwa gaidi wala kufanya ugaidi. Ugaidi unafanywa na kundi lenye malengo na madai fulani. Hamza analifanya ugaidi kwa kutumia kundi gani lenye malengo gani? Mtu akiiangalia picha za ngono za ukahaba kwenye internet nae ni kahaba? Je, kuangalia picha za kigaidi kwenye mtandao kunamfanya mtu awe gaidi? Kwanini aliuawa badala ya kushikiliwa kwa mahojiano ya kina kuhusu mtandao wao kama kweli ana mtandao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…